Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 622
It's Bob manekeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaa...m naskiaga mbeya..[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe n beya...Bwana mdogo anaitwa Beya na sio mbeya
😂😂😂😂 Nikabakii najiuliza why 'Mbeya' tena jmaan.!?Daaaaa...m naskiaga mbeya..[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe n beya...
Nashukuru sana mzee mwenzangu kwa kunikumbuka japo kuwa niko mbinguni 😎😎Panchoooooo Latinooooooo
Yule jamaa alikuwa na signature kaliiii sanaaa.Nashukuru sana mzee mwenzangu kwa kunikumbuka japo kuwa niko mbinguni [emoji41][emoji41]
Mr T touch Halafu Hiyo Ya Gnako Anasena Davy MakodiiKuna ile ila cjui ni prdyza gan...another one anaisema Fa na mwanzon anaisema g nako bby cjui nn u kili me...nisaidien neno anlolisema g nako na prdyza gn
Sent using Jamii Forums mobile app
Bugaleeeez Anaitwa
Anataja BearHivi ule wimbo wa Stamina pale anataka Mbeya au?
Anasema Davy makodii[emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kuandika comment yangu ndo naona tulikua na mawazo sawa...
me nasemaga diva makoo u killing 'em[emoji23][emoji23][emoji23] kune wimbo wa OLE
Ni Bear Huyo Toka Kill RecHalafu kuna signature fulani hivi inatajwa...'Mbeya' 'Mbeya' sijajua ni producer gani
Ipo kwenye nyimbo ya Stamina na Maua sama Love me, Muda ya ChidBenz na Qchief, aje mwenyewe ya Young killer,Stamina na Billnass
Anaeijua ni ya producer gani anifahamishe
Haha Jamaa anaitwa Mo Fire Signature Ni Moo Moo Fireee AgaiiinNapendaga signature ya producer aliyetengeneza huo wimbo ila sijuagi anaongea nn nasikiaga tu fufufuyage[emoji3][emoji3][emoji3]
S2kizzy babyKwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:
1. Abba
2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )
3. Nahreel On the beat
4. Kwenye Track hii na Hermy B
5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )
6. Tudd Thomas
7. Luffa
What's yours
Zachaaaaa