Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

Halafu kuna signature fulani hivi inatajwa...'Mbeya' 'Mbeya' sijajua ni producer gani

Ipo kwenye nyimbo ya Stamina na Maua sama Love me, Muda ya ChidBenz na Qchief, aje mwenyewe ya Young killer,Stamina na Billnass

Anaeijua ni ya producer gani anifahamishe
Ni Bear Huyo Toka Kill Rec
 
Napendaga signature ya producer aliyetengeneza huo wimbo ila sijuagi anaongea nn nasikiaga tu fufufuyage[emoji3][emoji3][emoji3]
Haha Jamaa anaitwa Mo Fire Signature Ni Moo Moo Fireee Agaiiin
 
Kwa wadau wa Muziki mnajua namna vionjo vya maprodyuza vinavyonogesha nyimbo. Je wewe kwako ni signature gani huwa zinakuvutia. Kwangu ni:

1. Abba

2. Uprise Music Baby ( Kijisauti cha mrembo )

3. Nahreel On the beat

4. Kwenye Track hii na Hermy B

5. Maximizer ( Huyu naona kachukua nafasi ya Mazuu )

6. Tudd Thomas

7. Luffa

What's yours
S2kizzy baby
 
Kwenye track hii ya Hammy B - iliyoimbwa na Vannesy Mdee wimbo wa Closer

Ayo Laizer ------------------
 
Biiin LADEN
Ayaaaaaaaah (Aby Dady)
Pancho Latiiiiinoooo
Mabeeeesteeee
Moccoooo
Mass Monster
Theeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mix Killer (Young Keayz Morento)
Hii Ni beat ya Mensen (Japo Sikuhizi Haitumii)
 
1:Aaby Dadiiii/Hayaaaaa'Aby Dady'
2:Ee ee ee..S 2 Kiiizy beibyy'S2 kizzy'
3:Yogo on the beat Aaaahhhhh'Yogo'
4:Kimambo on the beat'Kimambo'
5:Aii aiii iz Boongaaa'Bonga'
6:Kikikikiki kili records/Don don'Rashdon'
7:The Mixing killer/Abaaaaah'Abah Process'
 
Back
Top Bottom