Ni sikio la kufa? Mama anaitupa kadi yake muhimu ya kukubalika kwake

Kuna neno umetumia hapa siyo rahisi kutumiwa na Mtanganyika. Mara nyingi hutumiwa na ninyi. "wamekuumbueni" mwisho mtaelewa tu kwamba bandari siyo yenu na hamtakiwi kuiuza.
 
Hakika mmechanganyikiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…