Ni siku 21 leo, endelea kulala salama kipenzi chetu Rais John Pombe Joseph Magufuli

Ubinafsi na choyo ndio vinavyotutesa wabongo
Kama kitu sio cha muhimu kwako chaweza kuwa muhimu sana kwa wengine
Kila alichofanya JPM ni kwaajili ya Watanzania
Kabisa marehemu alikuwa na choyo sana na ubinafsi mkubwa sana. Unaendaje kujenga uwanja chato badala ya Serengeti? Sasa hivi tungekuwa na uhakika na mapato yatokanayo na utalii kwa kuwa na kiwanja Cha ndege kwenye hifadhi ya kimataifa ya Serengeti. Mungu amlipe kwa kadri ya matendo yake huko alipo
 
Kwenye hilo la "kuipenda nchi na sijui uzalendo" hapo hapana,watu wameichukia nchi yao kutokana na vitendo vya ukandamizaji vilivyotiwa nguvu na magufuli,ova
 
Acha wivu na wewe kha!
Huu wivu wako ndio aina ya ule wivu alioungoleaga mzee JK
 
Too early to judge! Miradi aliyokuwa ameanzisha inaweza kukamilika kwa sababu za kisheria, lakini je kutakuwa na miradi mipya ya viwango hivyo tena?
Jiwe was not all that special ,he was just a fool like you
 
Ungeondoka siku moja kabla ukaja kulala Dar hasara isingekuwa kubwa hivyo. Waswahili wanasema " Msafiri ali pwani" unapokuwa na safari muhimu kama sio ya ghafla ni muhimu kuzingatia vitu kama hivyo
Angekuja vipi dar...
Kwa ungo au...
Maana Kama si wewe Basi wenzako , wanasema miradi ya ujenzi wa barabara, madaraja na usafiri wa anga haina tija.....
Inashangaza saana..
 
Angekuja vipi dar...
Kwa ungo au...
Maana Kama si wewe Basi wenzako , wanasema miradi ya ujenzi wa barabara, madaraja na usafiri wa anga haina tija.....
Inashangaza saana..
Hiyo hiyo ndege, si usafiri upo kila siku? Nilisema hapo angeondoka siku 1 kabla. Au risk management imempitia kando?
 
Poleni
 
Mwendazake alikuwa mwongo, mwizi, DIKTETA, muuaji, asiyefuata Katiba na Utawala wa sheria na muumini wa shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…