Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa marehemu alikuwa na choyo sana na ubinafsi mkubwa sana. Unaendaje kujenga uwanja chato badala ya Serengeti? Sasa hivi tungekuwa na uhakika na mapato yatokanayo na utalii kwa kuwa na kiwanja Cha ndege kwenye hifadhi ya kimataifa ya Serengeti. Mungu amlipe kwa kadri ya matendo yake huko alipoUbinafsi na choyo ndio vinavyotutesa wabongo
Kama kitu sio cha muhimu kwako chaweza kuwa muhimu sana kwa wengine
Kila alichofanya JPM ni kwaajili ya Watanzania
Yaani ukitumwa mbeba maono utanaleta jiwe??Mtu wa watu, kipenzi cha watanzania, mzalendo, mbeba maono na mtekelezaji
Shujaa wa karne
View attachment 1744837
Acha wivu na wewe kha!Kabisa marehemu alikuwa na choyo sana na ubinafsi mkubwa sana. Unaendaje kujenga uwanja chato badala ya Serengeti? Sasa hivi tungekuwa na uhakika na mapato yatokanayo na utalii kwa kuwa na kiwanja Cha ndege kwenye hifadhi ya kimataifa ya Serengeti. Mungu amlipe kwa kadri ya matendo yake huko alipo
Tokea kutoweka hadi kutangazwa kifo tarehe 17 hajaonekana cocochanel hadi tunajikuta tunamashaka kuwa jee alikuwa ni yeye mwenyewe mwendazake?
Jiwe was not all that special ,he was just a fool like youToo early to judge! Miradi aliyokuwa ameanzisha inaweza kukamilika kwa sababu za kisheria, lakini je kutakuwa na miradi mipya ya viwango hivyo tena?
Angekuja vipi dar...Ungeondoka siku moja kabla ukaja kulala Dar hasara isingekuwa kubwa hivyo. Waswahili wanasema " Msafiri ali pwani" unapokuwa na safari muhimu kama sio ya ghafla ni muhimu kuzingatia vitu kama hivyo
Hiyo hiyo ndege, si usafiri upo kila siku? Nilisema hapo angeondoka siku 1 kabla. Au risk management imempitia kando?Angekuja vipi dar...
Kwa ungo au...
Maana Kama si wewe Basi wenzako , wanasema miradi ya ujenzi wa barabara, madaraja na usafiri wa anga haina tija.....
Inashangaza saana..
PoleniTunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu.
Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye alishakuelewa na kunyooka na anaweza kunyoosha wengine, anatunyoosha kwelikweli. Moto wa kutumbua majipu bado mama anauendeleza kwa kazi kubwa sana.
Endelea kupumzika kwa amani Mwamba, mbeba maono, mwenye uthubutu, Mtekelezaji na Mzalendo.
Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani Amina💔🕊🙏
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote 😍🇹🇿🔥🔥
Maishaa tuu yanabana sana
Mwendazake alikuwa mwongo, mwizi, DIKTETA, muuaji, asiyefuata Katiba na Utawala wa sheria na muumini wa shetaniTunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu.