Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ndugu zangu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe wana Mbeya wameonesha hamasa kubwa ya kutaka mageuzi nje ya CCM, lakini wanaonesha kuwa hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe katika kuyataka mageuzi hayo, mpaka kupitia kwa watu wengine kama vile wana Kilimanjaro na wana Kigoma wenye nia na malengo kama yao matokeo yake wana Mbeya wanajikuta wanatumiwa tu na hao wengine kama ngazi.
Mfano wana Kilimanjaro tulipohitaji mageuzi nje ya CCM tuliwatumia wana Kilimanjaro wenzetu kuanzisha vyama ambavyo viliongozwa na kusimamiwa na Kilimanjaro wenzetu, japo kuna baadhi ya post vinyu tuliwaweka watu wengine wa mikoa mbali mbali ili kuufumba macho umma wa watanzania usitujaji kwa mfumo wetu wa uongozi katika vyama vyetu.
Unaweza kuangalia mfumo wa viongozi katika chama cha NCCR - Mageuzi toka kuasisi kwake hadi leo ni viongozi wangapi kutoka mikoa mingine ambao walikiongoza chama hicho ukilinganisha na wa kutoka Kilimanjaro.
Ukija Chadema pia ukimtia Bob Makani ambae aliwekwa pale kama zuga ni kiongozi gani mungine kutoka mkoa mungine ashathubutu kukiongoza chama hicho.
Tukija kwa wana Kigoma nao kupitia Zito walipoona kwamb wanahitaji mageuzi nje ya CCM, lkn pia nje ya vyama vingine vya upinzani wana Kigoma hao kupitia Zito wakaanzisha chama chao cha ACT - wazalendo kikiongozwa na huyo huyo mwana Kigoma mwenzao Zito, lakini pia hata safu ya uongozi imejaa wala mawese na migebuka watupu japo wamezuga zuga na wapemba kadhaa ili waweze kuvuta sadaka na michango mbali mbali kutoka kwa wapemba wenye maduka yao.
Sasa ndugu zetu wana Mbeya sijui wanakwama wapi. Wao wamekuwa wakitumiwa kwa masilahi ya wenye vyama fulan, huku wakiwadanganya baadhi ya viongozi wa wana Mbeya hao vyeo vidogo vidogo vya kwenye vyama ili kuwafumba macho wasishtuke na kuanzisha vya kwao.
Ni muda sasa wa wana Mbeya nao kuja na mageuzi ya kweli kupitia chama kitachoasisiwa na mwana Mbeya mwenyewe, sio kufanywa madaraja na wajanja wachache kutoka Kigoma na Kilimanjaro kama vile Mbeya hakuna wasomi.