econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Wabunge wa 2015 aliyewaleta ni Lowassa we mdumavu wa akili. Mbowe 2005 alileta impact ipi. Watanzania wenye akili wanajua aliyepaaisha CHADEMA ni Dr. Wilbroad Slaa, hata ule uchaguzi wa 2015 Dr. Slaa alijiondoa muda mfupi tu kabla ya uchaguzi aliacha chama imara sana. Alijiondoa kwasababu Dr. Slaa ni mtu wa principles huwezi kumburuza na watu wa aina yake ni wachache sana hata Tundu Lissu hana principles yoyote anaangalia maslahi siyo Doctor
Mpumbavu mwenyewe taahira mkubwa mjaa laana. Kwa hivyo huyo Lowassa aliletwa na Nani?. Kila siku mnasema Mbowe aliuza chama kwa Lowassa , halafu Leo unasema Lowasaa kawaleta wabunge wengi chadema. Mimi nakwambia mwaka 2015 Mbowe aliona mbali kumleta Lowassa Sasa sijui unapinga Nini.
Halafu Dr Slaa hakuama CHADEMA kwaajili ya principles Bali alihama kwaajili ya kutoswa kwenye urais. Hakuna mtu aliyekuwa hana msimamo Kama Dr Slaa. Alishindwa upadri, alikimbia CCM baada ya kunyimwa tiketi ya ubunge, kamkimbia mke wake na watoto kumfuata mke wa mtu, kakimbia CHADEMA kisa Lowassa kupewa tiketi ya urais nk.