Ni siku gani ndugu zetu wana Mbeya nao watajua kujisimamia wenyewe?

Acha uchochezi, tukienda kwa staili hii nao Kigoma au Wakurya wakidai vyeo kisa wamesimama kwenye upinzani tokea 1995 itakuaje? Tanzania ni nchi pekee ambayo mtu anapanda kisiasa bila back up ya Kabila lake.

By the way Juliana Shonza au Mtela Mwampamba wangepewa Uenyekiti na Ukatibu mkuu wa Youth wing ya CHADEMA kama kungekua na ukabila? Tamaa zao tu ziliwapeleka CCM ila Mwampamba, Shonza na Silinde ndio walikua the future ya CHADEMA na walikua groomed vilivyo and not otherwise.
 
Ukisema nyumbu una maana Gani? Kwahiyo ukishabikia CCM ndio unakuta timamu? Chama ambacho kimefeli kututoa kwenye umaskini kwa miaka 60 Sasa tokea uhuru.

Hakuna mtu mwenye akili timamu ashabikie CCM, ndio maana maeneo yote yenye wasomi nchi hii angalia pattern yao ya kupiga kura ni upinzani tu.
 
Haihitajiki elimu kubwa sana kuutambua ubongo uliochanganyika na haja kubwa
 
Hao wote ni Songwe, Mbeya halisi humshawishi kwa vipande vya shekeli, Mbeya a spead is a spead. Fuatilia ujifunze.
 
Ukute na wewe ni mtu wa Mbeya uliekubali kuwekewa akili yako mfukoni na mwenyekiti ambae hajui hata kijiji unachotoka achilia mbali nyumba au mtaani unaoishi. So sad!!
 
Wewe na mleta uzi ni pipa na mfuniko wake
Watu wa Mbeya mtaishia kutumiwa kwenye matusi na uwana harakati koko, lkn kwenye zile nafasi za juu za kula mema ya chama hamtawekwa kamwe. Mkihurumiwa sana mtalaghaiwa na vicheo vidogo vya kwenye umoja wa vijana wa ACT wazalendo au bavicha.
 
Kigoma wadai vyeo gani tena na wakati tayari wanavyo kupitia ACT wazalendo? Kigoma wamejitambua mapema wakakataa kuburuzwa na kutumiwa na baadhi ya wanasiasa uchwara.
Japo chama chao hakina kichwa wala miguu, lkn wamejaribu kukwepa kutumiwa kama daraja na wajanja fulan kutoka sehemu fulan. Mbeya bado hawajashtuka ndo maana wamekalia uwana harakati koko huku mapato ya ruzuku na vyeo vya juu vikielekezwa kwa wajanja wengine.
 
Sugu ni mngoni!

Kama hujui kitu kaa kimya ,tokea lini Mbilinyi akawa mngoni?

Labda ungesema ni mkinga wa songea ungeeleweka kidogo.
Sugu ni Mngoni

Mr Dudumizi
Jemima Mrembo yupo sahihi

MBILINYI kwa asili ni wangoni. Kutokana na kuhama hama wakajikuta wanaishia kuwa wakinga, wabena na wahehe.

Kabla hamjazaliwa alikuwepo waziri wa fedha simon Mbilinyi kutoka Songea.. Pesa zilikuwa na chata ya mbilinyi kipindi hicho.. Simon Mbilinyi - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Kigoma Wana chama? Mbona ACT ni ya wapemba tu.... 2015 walipata majimbo sawa na Chadema hapo kigoma. Chadema both 2015 na 2020 Ina kura za Urais mara 20 ya ACT hapo kigoma Sasa sijui definition Yako ya chama Cha kigoma ni ipi ilihali hta hapo kigoma hakidominate maana kimenunuliwa Pemba kwa Sasa.

Anyway vipi sisi wakurya tudai vyeo maana tumechagua Chadema tokea 1995? Au tuanzishe chama chetu?
 
Watu wa Mbeya mtaishia kutumiwa kwenye matusi na uwana harakati koko, lkn kwenye zile nafasi za juu za kula mema ya chama hamtawekwa kamwe. Mkihurumiwa sana mtalaghaiwa na vicheo vidogo vya kwenye umoja wa vijana wa ACT wazalendo au bavicha.
Umeandika upuuzi mwingi sana sijui umekunywa maji machafu ya wapi wewe
 
Ukute na wewe ni mtu wa Mbeya uliekubali kuwekewa akili yako mfukoni na mwenyekiti ambae hajui hata kijiji unachotoka achilia mbali nyumba au mtaani unaoishi. So sad!!
Nimeingia Chadema tokea 2004, kwa ajili ya sera ya Mrengo wa kati kulia

pia Mimi ni muumini wa Private sector-driven economy na Hilo linapatikana Chadema pekee.

Pia ni muumini wa ugatuzi wa mamlaka na hiyo sera ya ugatuzi kupitia majimbo inapatikana Chadema pekee.

So whether mwenyekiti awe mchagga au Muha I'm here to stay maana sikuingia sababu ya ukabila.

We hushangai mkoa aliozaliwa Nyerere ndio una embrace upinzani kiasi majimbo 4 yakaanguka 2015?

Siasa za ukabila hazina nafasi huku kwetu.
 
Uamuzi ni wenu mkuu, kuendelea kutumiwa kufanya uwana harakati kwa masilahi ya wajanja wachache waliohodhi nafasi kubwa kubwa za juu chamani, au na nyinyi kuangalia ni namna gani na nyinyi mtaweza kupewa nafasi hizo ili mpate imani kuwa na nyinyi wakurya michango yenu inatambulika kichama nk.
 
Mkuu hapa mbona tunamzungumzia Joseph Mbilinyi 'Sugu' na sio huyo aliekuwa waziri wa fedha.

Hawa japo majina yao yanafanana lkn ni watu wawili tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…