Ni siku gani ndugu zetu wana Mbeya nao watajua kujisimamia wenyewe?


Mpumbavu mwenyewe taahira mkubwa mjaa laana. Kwa hivyo huyo Lowassa aliletwa na Nani?. Kila siku mnasema Mbowe aliuza chama kwa Lowassa , halafu Leo unasema Lowasaa kawaleta wabunge wengi chadema. Mimi nakwambia mwaka 2015 Mbowe aliona mbali kumleta Lowassa Sasa sijui unapinga Nini.

Halafu Dr Slaa hakuama CHADEMA kwaajili ya principles Bali alihama kwaajili ya kutoswa kwenye urais. Hakuna mtu aliyekuwa hana msimamo Kama Dr Slaa. Alishindwa upadri, alikimbia CCM baada ya kunyimwa tiketi ya ubunge, kamkimbia mke wake na watoto kumfuata mke wa mtu, kakimbia CHADEMA kisa Lowassa kupewa tiketi ya urais nk.
 
Punguza ukabila. Tangu lini ACT imekuwa chama Cha Kigoma?. Tangu lini Chadema kimekuwa chama Cha Kilimanjaro?. Hivi vyama vina ufuasi mkubwa nchi nzima hasa CHADEMA. Kwa Zanzibar Ni ACT.
Mimi sizungumzii wanachama na wafuasi wao waliopo nchi nzima, ambao wengi wao wanatumiwa na viongozi wa vyama kufuanya uwana haraka uchwara na kuishia kukamatwa, kuvunjwa miguu na kupata ulemavu wa maisha (huku hasara ya ulemavu na vifungo hivyo wakipata wazazi na ndugu wa walioathirika) wengine hadi kuuwawa kwa faida za waliopo juu ya chama na familia zao. Hapa nazungumzia nafasi za juu za vyama kitaifa zinashikwa na kina nani, japo anaweza kuwekwa mmoja au wawili kutoka Zanzibar au mkoa fulan kwa lengo la kuwafumba macho wana harakati wanaotumiwa kisiasa na viongozi hao.
 
Punguza roho mbaya. Mbona Lissu kapigwa risasi ni wa mbeya?
Kipindi hicho anapigwa risasi alikuwa hajawa na cheo alichonacho leo.
Kwahiyo alikuwa bado anatumiwa na wajanja kutoa kauli zisizoeleweka kwa faida za walio juu yake.
 
Al

ACT ngome yake Pemba sio kigoma.
Pemba imewekwa kwa lengo maalum wajanja wakusanye sadaka na michango ya wapemba, ila wenye chama chao wako Kigoma wanakula migebuka na mawese.
 
Ukiondoa CCM ambacho ni chama cha kitaifa, nioneshe chama kingine (sio chadema, nccr) kilichoanzishwa na watu wa kutoka mikoa mingine ambacho mpaka leo bado kina mamilioni ya wafuasi? ACT wazalengo bado wapya kwahiyo usiwahusishe na swali langu.
 
Furaha yako kila mtu aifuate CCM . Mbona mkoa wa Mbeya wote ni CCM inaongoza kwenye kila ngazi ila bado hujaridhika. Unataka Wana mbeya wafanyeje kwa mfano?
CCM hatuwahitaji wana Mbeya maana wengi wao ni rahisi kutumiwa na wanasiasa uchwara.

We fikiria mpaka Zito ana chaka lake Mbeya. Dah.....
 
Vipi kuhusu...
Tanga Mara Manyara Mwanza Kagera Dodoma Morogoro Singida Iringa Songea na kadhalika?
Pumbavu!
Hiyo mikoa uliyotaja hapa wasomi wao wengi wana nafasi kubwa kubwa ndani ya CCM, wala hawatumiwi kufanya uwana harakati uchwara kwa faida za wachache chamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…