Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

Nimeshindwa kupig show mara 5 mfululizo ngoma inaamk nikitak tu kuwek Ina lala hii ndo yangu😭😭
Mshukuru Mungu sana comrade !uliwahi kujiuliza nini kingetokea maishani mwako kama ungefanya na muhusika!!?
Kuna jamaa aliwahi tokewa na hiyo akalazimisha !kilichomtokea!!Kaa mbali na watoto!!

sio Kila ke ni WA Kila me and vice versa is true!!!
 
Siri ni Siri huwezi kua safe even if unatumia anonymous Id regardless unatoa Siri gani kati ya hizi

1) Siri za muda mfupi kuna muda zina expired
2) confidential only authorized people wana access
3) Top secrets Mimi na wewe hatujui na ukijua only dead body can keep secrets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…