scot mcomic
JF-Expert Member
- Apr 17, 2021
- 234
- 383
Aramun vp kanmoor yupo arthdal bado au😂😂Nazama sana chumvini, huko social networks ni mfukunyuku mpaka najiona shetani ndugu yangu... Nina whatsapp yangu special, humo ndani shetani anaogopa..
Sitaki ndugu wajue kabisa..
Sorry madam I don’t even know you! What if you are fellow men. 🤣🤣🤣Tuma pesa ya bando sasa...🤭 Uone nilivyo real!!!
HahahahahaTatizo mnachati na sisi kila muda huko Pm, halafu hamtaki kutuma pesa za bando
Ndio maana tunazifunga Pm zetu.
Kuna baadhi ya wanaume wa humu wanaboa sana
Ndio hivo.Hahahahaha
HahahahahaNdio hivo.
Yaani unakutana na Pm zaidi ya 20 asubuhi, ukifungua zote ni salamu zisizo na kichwa wala miguu.
Wanaotuma pesa ni wachache....🥰
Unataka kujihakikishia?Sorry madam I don’t even know you! What if you are fellow men. 🤣🤣🤣
[emoji23]
Hapana, ila umewah sana na attempts zako 🤣Unataka kujihakikishia?
JOHARI WINDOW.Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
Si lazima kuanzisha threads SOMETIMES tubaki wasomajiUsijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
Ila wewe jamaa😂😂😂😂
Mbona wote tunajua wewe ni shoger unauza mpaka 071..
Ataenda wapi sasa mkuu😀Aramun vp kanmoor yupo arthdal bado au😂😂
Madame ktk ubora wako 🤣🤣🤣Ndio hivo.
Yaani unakutana na Pm zaidi ya 20 asubuhi, ukifungua zote ni salamu zisizo na kichwa wala miguu.
Wanaotuma pesa ni wachache....🥰
Mara moja moja nashtua cha arushaUsijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
It is not secret again that I love you GodUsijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
Japo wapo wanaokuja kwa masuala ya msingi, ila wengine wanaboa sana.Madame ktk ubora wako 🤣🤣🤣
Nafikiria kuachia piemu yangu wazi, nicheke na wana wa Israel ila lazima watanitibua tu. Najua akili zao zilivyo na ukorofi.Japo wapo wanaokuja kwa masuala ya msingi, ila wengine wanaboa sana.
Sisi wengine hatuwezi kufunga Pm zetu maana ndio ofisi zetu na vibaraza vyetu wakati mwingine na zaidi kuna masuala ambayo hatuwezi kupeana namba za simu zaidi ya Pm, ila ndio hivo hakuna namna.
Tunaishi kwenye jamii tunayoivumilia sana Lamomy