Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.
Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.
Kwanzia ile siku aisee nimeondoka pale najisemea lazima nitafute hela yangu mwenyewe aisee