Ni situation gani ilikufanya utambue kuwa lazima utafute pesa hata iweje?

Pole sana..ukiachana na kufiwa, sijaona kubwa lililokupata hapo kwenye huo msaada.
Na tena mimi naona ukipaswa kufurahi maana hiyo pesa hukupewa kama msaada, bali umeitolea jasho. Kwakifupi baba yako mdogo hakukupa msaada, alikupa kazi, ukalipwa ujira, hiyo ni pesa yako ulioitolea jasho
Mkuu vp kule kwa wife wetu hakuna mrejesho wowote?
 
Sijajipata ila sasa hivi sina shida ndogondogo. Najilipia kila kitu bila msaada wa mtu and am living a very comfortable life na kwasaidia wengine pia
Then keep that fire burning brother. Kuna ile level unaitamani unajiona kabisa hapa nikilegeza sitaifikia. Muhimu kuendelea tu
 
Mkuu vp kule kwa wife wetu hakuna mrejesho wowote?
Ahahahahahah..
Dah umenichekesha sana mkuu.
We tulia kwanza.
Mrejesho utakuja tu. Kwasasa nashuhudia mapicha picha ambayo sipendi kuyapa maana sana najaribu kuyaelewa ili nisilete mrejesho wa hisia zangu tu bali uhalisia
 
Ulinipa funzo kubwa sana boss wangu. Kukubali jambo litokee ni bora zaidi kuliko kukataa jambo kutokea
 
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.

Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.

Kwanzia ile siku aisee nimeondoka pale najisemea lazima nitafute hela yangu mwenyewe aisee
Siku nilivyoambiwa kuwa nikimaliza chuo kikuu natakiwa niende VETA nikajifunze kushona na useremala
 
Basi nililokua nasafiria liliharibika njiani, ikabidi abiria watafute usafiri mbadala. Na hapo pesa Sina mfukoni zote nililipa nauli na kidogo iliobaki nikapata mlo mdogo.
Hapo ndio michango ya umasikini ikaanza kuunguruma.
Namshukuru mwenyezi Mungu Leo sipo kwenye Hali hiyo Nina maisha mazuri.
 
Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.

Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.

Kwanzia ile siku aisee nimeondoka pale najisemea lazima nitafute hela yangu mwenyewe aisee
Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.

PONNGEZI KWA DINGI MDOGO 💪
 
Pole sana..ukiachana na kufiwa, sijaona kubwa lililokupata hapo kwenye huo msaada.
Na tena mimi naona ukipaswa kufurahi maana hiyo pesa hukupewa kama msaada, bali umeitolea jasho. Kwakifupi baba yako mdogo hakukupa msaada, alikupa kazi, ukalipwa ujira, hiyo ni pesa yako ulioitolea jasho
Kamfunza kwa KUMPULIZIA roho ya hakuna cha bure duniani.
 
Yah..he taught him the hard way. Japo kiuoande mwingine anaweza onekana hajafanya fair ila ,alipaswa kuona hiyo ni fursa, kila akiwa na uhitaji alikua anatakiwa kwenda tu pale "dingi vipi kuna vijikaz kazi vya hapa na pale leo nipate hela ya daftari??"
Upo sahihi kuwa fursa. Ila dingi mdogo hapo lengo lake lilikuwa kumkataa mazima (dogo akiwaza hapa kwa mzee kunifanyia hivi,sitokuja tena). Lengo likatimia kuwa dogo makusudi tena,pia kafunzwa kujitafutia kwa jasho.
NEGATIVITY INTO POSITIVITY.
 
Back
Top Bottom