Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Familia yetu ndio inayo nikumbusha hilo kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vp kule kwa wife wetu hakuna mrejesho wowote?Pole sana..ukiachana na kufiwa, sijaona kubwa lililokupata hapo kwenye huo msaada.
Na tena mimi naona ukipaswa kufurahi maana hiyo pesa hukupewa kama msaada, bali umeitolea jasho. Kwakifupi baba yako mdogo hakukupa msaada, alikupa kazi, ukalipwa ujira, hiyo ni pesa yako ulioitolea jasho
Then keep that fire burning brother. Kuna ile level unaitamani unajiona kabisa hapa nikilegeza sitaifikia. Muhimu kuendelea tuSijajipata ila sasa hivi sina shida ndogondogo. Najilipia kila kitu bila msaada wa mtu and am living a very comfortable life na kwasaidia wengine pia
Ahahahahahah..Mkuu vp kule kwa wife wetu hakuna mrejesho wowote?
Ulinipa funzo kubwa sana boss wangu. Kukubali jambo litokee ni bora zaidi kuliko kukataa jambo kutokeaAhahahahahah..
Dah umenichekesha sana mkuu.
We tulia kwanza.
Mrejesho utakuja tu. Kwasasa nashuhudia mapicha picha ambayo sipendi kuyapa maana sana najaribu kuyaelewa ili nisilete mrejesho wa hisia zangu tu bali uhalisia
Siku nilivyoambiwa kuwa nikimaliza chuo kikuu natakiwa niende VETA nikajifunze kushona na useremalaMimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.
Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.
Kwanzia ile siku aisee nimeondoka pale najisemea lazima nitafute hela yangu mwenyewe aisee
Tuko pamoja mkuu wala usiwazeUlinipa funzo kubwa sana boss wangu. Kukubali jambo litokee ni bora zaidi kuliko kukataa jambo kutokea
Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.Mimi nililelewa na bibi na baba yetu ndo alikuwa anaprovide for the family. Kwa bahati mbaya baba akafariki nikiwa form 1 na bibi alikuwa mzee na hajishughulishi na chochote. Ili nipate msaada wa vitu vya shule ilinibidi niende kwa ndugu wa baba kuomba msaada ili niweze kwenda shule.
Nikafika kwa baba mdogo na list yangu viligharimu kama elfu 30. Nikaambiwa nideki, nifue na kuosha vyombo kwanza ndo anipatie hela. Nilivyomaliza hizo kazi akanipa elfu ishirini akaniambia nyingine nikajitafutie.
Kwanzia ile siku aisee nimeondoka pale najisemea lazima nitafute hela yangu mwenyewe aisee
Kamfunza kwa KUMPULIZIA roho ya hakuna cha bure duniani.Pole sana..ukiachana na kufiwa, sijaona kubwa lililokupata hapo kwenye huo msaada.
Na tena mimi naona ukipaswa kufurahi maana hiyo pesa hukupewa kama msaada, bali umeitolea jasho. Kwakifupi baba yako mdogo hakukupa msaada, alikupa kazi, ukalipwa ujira, hiyo ni pesa yako ulioitolea jasho
Na ili uzipate lazima kiwepo/awepo wa kukutia hasiraKundua haya maisha hauwez ishi bila pesa katk all aspect , ili uwe na furaha
Haha hii huwa ni ni isparation ya wanaume wengi. Many can relateDemu alinikataa😭😭😭😂
Yah..he taught him the hard way. Japo kiuoande mwingine anaweza onekana hajafanya fair ila ,alipaswa kuona hiyo ni fursa, kila akiwa na uhitaji alikua anatakiwa kwenda tu pale "dingi vipi kuna vijikaz kazi vya hapa na pale leo nipate hela ya daftari??"Kamfunza kwa KUMPULIZIA roho ya hakuna cha bure duniani.
MUDA UTAFIKA WAKUMUELEWA NA KUWA BALOZI WA PM WE MWENYEWE..Siku nilivyoambiwa kuwa nikimaliza chuo kikuu natakiwa niende VETA nikajifunze kushona na useremala
Hivi Kiduku Lilo Aliendaga Wapi.?Siku nimefika kununua Private jet Boeing 757 nikiwa na 150M USD Cash nikaambiwa niongeze 100,000 USD nilijiona masikini sana.
Upo sahihi kuwa fursa. Ila dingi mdogo hapo lengo lake lilikuwa kumkataa mazima (dogo akiwaza hapa kwa mzee kunifanyia hivi,sitokuja tena). Lengo likatimia kuwa dogo makusudi tena,pia kafunzwa kujitafutia kwa jasho.Yah..he taught him the hard way. Japo kiuoande mwingine anaweza onekana hajafanya fair ila ,alipaswa kuona hiyo ni fursa, kila akiwa na uhitaji alikua anatakiwa kwenda tu pale "dingi vipi kuna vijikaz kazi vya hapa na pale leo nipate hela ya daftari??"