Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Hii ilikuwa mwaka gani 95 au?😂😂Demu alinikataa😭😭😭😂
Ngoja nicheke eh 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹 mbona aibu iziAnastasia21 alinikataa PM 😂😂
Dada sawa tu😭😭Ngoja nicheke eh 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹 mbona aibu izi
M niufanye nn uwo moyo💔Dada sawa tu😭😭
Sawa sina hela ila sina nina moyo😂😂
Umefikia wapi katika harakati ya kutafuta hela baada ya kujiapiza. Ushajipata au bado unatafutaKwanzia ile siku aisee nimeondoka pale najisemea lazima nitafute hela yangu mwenyewe aisee
Umejuaje🥺🥺🥺😂Hii ilikuwa mwaka gani 95 au?😂😂
Sijajipata ila sasa hivi sina shida ndogondogo. Najilipia kila kitu bila msaada wa mtu and am living a very comfortable life na kwasaidia wengine piaUmefikia wapi katika harakati ya kutafuta hela baada ya kujiapiza. Ushajipata au bado unatafuta