Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Chukua TLC toleo la hivi karibuni
 
TCL model mpya ni nzuri sana
 
Mwaka 2018 nlinunua TCL 43" smart TV 4k, nimedumu nayo mpaka this year January 1 nimeipeleka home na still wameiona ni mpya, picha nzuri, sound nzuri, smart TV si haba,
This year nimechukua TCL 55" 735 QLED 4k GOOGLE TV, ( its just magical , a smartphone in a TV, ) (TCL TV C735-QLED-4K HDR PRO-ONKYO-Google TV-TCL Global )

ina mengi ya kuelezea na kiukweli naenjoy, good movies experience, gaming experience, football experience, ila ukiweka wasafi TV usitegemee itaonyesha picha ya 4k, [emoji3]
Nina kibanda changu cha PlayStation nimewawekea hisense 43" 4k zina miezi 6 sasa , sio mbaya ila kwa hizi low budget TVs TCL ana offer vitu vingi extra...

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hio Hisense 43 4k ulinunua tshngap
 
lakin udumuj wa samsung ni tofaut na hisense imagine nimenunua hisense 4k 43” ndan ya mwaka na nusu ishaanza matatizo nikaisukum nimechukua samsung ya 2022 55” 4k bei 2M

bora ghali kinachodumu
Ofcoz reliability kweny brand kubwa ni ni ya juu,huez ikuta kweny hizi brand za kati na chini

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Lakini mbona kuna watu wanatumia TV mbaya kabisa tena Sundar, TV za Sola na wamekaa nazo miaka mitano, halafu nyie mmeshindwa kukaa na Hisense miaka miwili tu. Hapo kuna mawili
1. Utunzaji m'bovu
2. Hiyo TV ulipigwa
Nyie ambao mnasema mmekaa na Hisense mwaka mmoja ikawaletea matatizo huwa siwaelewi, inawezekanaje kama sio mlipigwa kitu kizito na wauzaji wa Makumbusho [emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hiyo TCL yenye google OS inasupport app za android kama ilivyo kwa Android TV. Pia unaweza kuinstall app nje ya app store yake..?
 
Mkuu hongera kwa maelezo ya kitaalam,kwa bajeti ya 1.2M naweza kupata Sony au Lg ya mpya aina ipi? na wapi naweza kupata maduka yanayouza hizo brand Og.
 
Hio uliichukua kwa bei gani
 
Mkuu hongera kwa maelezo ya kitaalam,kwa bajeti ya 1.2M naweza kupata Sony au Lg ya mpya aina ipi? na wapi naweza kupata maduka yanayouza hizo brand Og.
Kikawaida budget hio unapata around inch 50, utapata tu tv Basic ambayo sio Oled ama Panel yoyote nzuri, ukipata Ips kwa hii budget ni vizuri zaidi. Vitu vyengine vya kuangalia ni kama 4k, Hdr/Dolby standards kama Hdr10 na Dolby vision, ukipata HDR10+ pia inakuwa vizuri zaidi. Maduka angalia ambayo ni verified kwa LG kama La METL, ama hata duka kubwa ambalo wanatoa warranty za Maandishi.
 
Wengi wenu mnataja makampuni maarufu kwa kukalili tu, mkiulizwa specifications hamjui lolote... Sikuhiz hizi bidhaa 90% zina ubora unao fanana... Nyie endeleeni kukariri brand
 
Wengi wenu mnataja makampuni maarufu kwa kukalili tu, mkiulizwa specifications hamjui lolote... Sikuhiz hizi bidhaa 90% zina ubora unao fanana... Nyie endeleeni kukariri brand
No inategemea na category. Cheap version n'a high end version
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…