Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Mwaka 2018 nlinunua TCL 43" smart TV 4k, nimedumu nayo mpaka this year January 1 nimeipeleka home na still wameiona ni mpya, picha nzuri, sound nzuri, smart TV si haba,
This year nimechukua TCL 55" 735 QLED 4k GOOGLE TV, ( its just magical , a smartphone in a TV, ) (TCL TV C735-QLED-4K HDR PRO-ONKYO-Google TV-TCL Global )

ina mengi ya kuelezea na kiukweli naenjoy, good movies experience, gaming experience, football experience, ila ukiweka wasafi TV usitegemee itaonyesha picha ya 4k, [emoji3]
Nina kibanda changu cha PlayStation nimewawekea hisense 43" 4k zina miezi 6 sasa , sio mbaya ila kwa hizi low budget TVs TCL ana offer vitu vingi extra...

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hiyo TCL 55" QLED ulinunua sh ngapi!??
 
Kind of truth.
Nilikuwa na Hisense
Nikahamia TCL.. naona TCL kamzidi Hisense
Xiaomi TV
Na huyu ni Mchina, naye yupo vizuri.
Mi TV zinapatikana Kenya pia. Kuna yoyote anazijua hizi TV vizuri?
Screenshot_20230216-153053.jpg
 
Wakuuu nna samsung curve 55'' smart nmenunua kwa ndugu yangu ubora wake upoje???
 
Advantage kubwa ya TCL vs wengine ni hio Android tv, utapata Software ambayo ime mature.

Naona ina Dolby vision kama una internet 40mbps kupanda uta enjoy Quality yake.

Ukileta model yake tunaweza kuiangalia zaidi
Chief naomba muongozo wa TV Model ya kununua kigezo kikubwa ni ubora wa display na kampani ziwe Kati ya Samsung,lg na Sony inch 55.
 
Advantage kubwa ya TCL vs wengine ni hio Android tv, utapata Software ambayo ime mature.

Naona ina Dolby vision kama una internet 40mbps kupanda uta enjoy Quality yake.

Ukileta model yake tunaweza kuiangalia zaidi
mzee hvi kati ya tcl na hisence ni yupi ana offer budget TVs kali overall hasa upande wa hdr10 plus na Dolby vision???
 
Kwahiyo Chief kwasie tunataka TV Kwa lengo la kuangalia vipindi vya televisheni Tu hatuna haja ya kuhangaika na Smart TV wala Android TV.
Tubaki na Oled technology Kwa ubora wa display.
Inategemea na Budget yako mkuu, Oled inataka usiwe na Pesa za mawazo. Kama lengo ni kuangalia tu TV bila mambo mengine ya kisasa kama kucheza games, smart tv etc tafuta Panel ya IPS.
 
Inategemea na Budget yako mkuu, Oled inataka usiwe na Pesa za mawazo. Kama lengo ni kuangalia tu TV bila mambo mengine ya kisasa kama kucheza games, smart tv etc tafuta Panel ya IPS.
Siwezi pata Oled Kwa Budget ya 2m inch 50-55
 
Inategemea na Budget yako mkuu, Oled inataka usiwe na Pesa za mawazo. Kama lengo ni kuangalia tu TV bila mambo mengine ya kisasa kama kucheza games, smart tv etc tafuta Panel ya IPS.
Samahani Chief.
Unamaana gani kuhusu panel ya IPS?
 
Samahani Chief.
Unamaana gani kuhusu panel ya IPS?
Vioo vina panel mbalimbali kwenye LCD ila zinazotumika mara kwa mara ni VA na IPS.

Ips yenyewe uzuri wake mkubwa ni view Angle kwamba ukikaa kulia, ukikaa kushoto katikati etc quality haipotei sana hivyo ukiweka Sebuleni haijalishi mtu kakaa wapi ataona vizuri tv.

Va yenyewe ina contrast ratio kubwa unapata mwanga mkali ila haina view angle kama Ips.

Kwa watu wa kawaida most of time unashauriwa kuchukua IPS.
 
Back
Top Bottom