ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
Okay mkuu, nimekupataWe si umesema Hisense?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay mkuu, nimekupataWe si umesema Hisense?
Hiyo TCL 55" QLED ulinunua sh ngapi!??Mwaka 2018 nlinunua TCL 43" smart TV 4k, nimedumu nayo mpaka this year January 1 nimeipeleka home na still wameiona ni mpya, picha nzuri, sound nzuri, smart TV si haba,
This year nimechukua TCL 55" 735 QLED 4k GOOGLE TV, ( its just magical , a smartphone in a TV, ) (TCL TV C735-QLED-4K HDR PRO-ONKYO-Google TV-TCL Global )
ina mengi ya kuelezea na kiukweli naenjoy, good movies experience, gaming experience, football experience, ila ukiweka wasafi TV usitegemee itaonyesha picha ya 4k, [emoji3]
Nina kibanda changu cha PlayStation nimewawekea hisense 43" 4k zina miezi 6 sasa , sio mbaya ila kwa hizi low budget TVs TCL ana offer vitu vingi extra...
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Na hapa ndiyo hupigwa!Watu wengi hawajui model zaidi brand tu.
Kwa nini hujampa option ya OLED?Nunua 65 inch 4k qled au miniled
Kind of truth.Hata hivyo Hisense sio brand bora ya kuchina, kuna TCL sijui TLC hii ndio kidogo kujaribu kuwakaribia Samsung ama LG
Xiaomi TVKind of truth.
Nilikuwa na Hisense
Nikahamia TCL.. naona TCL kamzidi Hisense
Hizi tatizo huku wanazipiga sana,ukiagiza uchinani unapata inchez 55 kuanzia around 350 had 450 hapoXiaomi TV
Na huyu ni Mchina, naye yupo vizuri.
Mi TV zinapatikana Kenya pia. Kuna yoyote anazijua hizi TV vizuri?View attachment 2543307
XiaomiXiaomi TV
Na huyu ni Mchina, naye yupo vizuri.
Mi TV zinapatikana Kenya pia. Kuna yoyote anazijua hizi TV vizuri?View attachment 2543307
Mlimani City Mall zipo pale Anisuma traders duka la SonyXiaomi TV
Na huyu ni Mchina, naye yupo vizuri.
Mi TV zinapatikana Kenya pia. Kuna yoyote anazijua hizi TV vizuri?View attachment 2543307
Nami nasubiri uchambuziXiaomi TV
Na huyu ni Mchina, naye yupo vizuri.
Mi TV zinapatikana Kenya pia. Kuna yoyote anazijua hizi TV vizuri?View attachment 2543307
Chief naomba muongozo wa TV Model ya kununua kigezo kikubwa ni ubora wa display na kampani ziwe Kati ya Samsung,lg na Sony inch 55.Advantage kubwa ya TCL vs wengine ni hio Android tv, utapata Software ambayo ime mature.
Naona ina Dolby vision kama una internet 40mbps kupanda uta enjoy Quality yake.
Ukileta model yake tunaweza kuiangalia zaidi
mzee hvi kati ya tcl na hisence ni yupi ana offer budget TVs kali overall hasa upande wa hdr10 plus na Dolby vision???Advantage kubwa ya TCL vs wengine ni hio Android tv, utapata Software ambayo ime mature.
Naona ina Dolby vision kama una internet 40mbps kupanda uta enjoy Quality yake.
Ukileta model yake tunaweza kuiangalia zaidi
Inategemea na model mkuu ila ni TV ambazo zipo class mojamzee hvi kati ya tcl na hisence ni yupi ana offer budget TVs kali overall hasa upande wa hdr10 plus na Dolby vision???
Kwahiyo Chief kwasie tunataka TV Kwa lengo la kuangalia vipindi vya televisheni Tu hatuna haja ya kuhangaika na Smart TV wala Android TV.Inategemea na model mkuu ila ni TV ambazo zipo class moja
Inategemea na Budget yako mkuu, Oled inataka usiwe na Pesa za mawazo. Kama lengo ni kuangalia tu TV bila mambo mengine ya kisasa kama kucheza games, smart tv etc tafuta Panel ya IPS.Kwahiyo Chief kwasie tunataka TV Kwa lengo la kuangalia vipindi vya televisheni Tu hatuna haja ya kuhangaika na Smart TV wala Android TV.
Tubaki na Oled technology Kwa ubora wa display.
Siwezi pata Oled Kwa Budget ya 2m inch 50-55Inategemea na Budget yako mkuu, Oled inataka usiwe na Pesa za mawazo. Kama lengo ni kuangalia tu TV bila mambo mengine ya kisasa kama kucheza games, smart tv etc tafuta Panel ya IPS.
Ngumu mkuu, most of time ni 3m kupandaSiwezi pata Oled Kwa Budget ya 2m inch 50-55
Samahani Chief.Inategemea na Budget yako mkuu, Oled inataka usiwe na Pesa za mawazo. Kama lengo ni kuangalia tu TV bila mambo mengine ya kisasa kama kucheza games, smart tv etc tafuta Panel ya IPS.
Vioo vina panel mbalimbali kwenye LCD ila zinazotumika mara kwa mara ni VA na IPS.Samahani Chief.
Unamaana gani kuhusu panel ya IPS?