Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Mkuu uzuri wa TCL ni kwamba wana Android TV, compare na Hisense LG na Samsung ambao wanatumia os zilizofungwa. Kama ni mpenzi wa Youtube, Netflix, movies, series, kuangalia mpira etc uta enjoy, uwe tu na Internet ya uhakika.

Hio tv pia Panel yake ni VA kama umesoma post za Juu haitakua na view Angle nzuri kama IPS ila utaenjoy contrast kubwa hasa kama unaangalia sebule yenye giza.

Mambo mengine in 4k, HDR10, ina Tv zote Analog, DVB-T, DVB-S, Dolby vision, Dolby Atmos, wifi ya kisasa, Wifi direct, Dlna, bluetooth ya kisasa 5.1, uwezo wa kusplit display etc.

Kwa matumizi ya kisasa mi naona ipo vizuri, we kagua tu upande wako hasa quality ya picha kama inakidhi vigezo vyako.
Sometimes unatamani huyu jamaa uende nae dukani akuchagulie tv upeleke home. Be blessed mkuu, Huna uchoyo wa madini
 
Wanaweza kuandika ila kutambua kwa macho ni kuangalia hii view Angle, yaani tembea nenda kulia kwa TV, kushoto kwa TV ukiona kila ukienda upande Quality inapotea ujue hio sio IPS.

View attachment 2603942
Hii ips ikiwa imetilt Nyuzi 57

View attachment 2603944
Hii Va ikiwa imetilt Nyuzi hizo hizo 57.

Ila tv hizo hizo ukiwa unaangalia straight
View attachment 2603948
Hii ips

View attachment 2603953
Hii va

Hivyo unaona utofauti ni mdogo sana ukiwa unaziangalia straight hizo tv ila ukikaa kiupande utofauti unakua mkubwa.
Nilichoelewa Sisi tunaonunua TV Kwa lengo la kuangalia vipindi vya televisheni na mpira na CD zakina DJ Murphy. Tununue TV yenye sifa hizi iwe na Dolby vision,HDR,Ips Led Panel.
Bilashaka Chief nipo sahihi au unasemaje.?
 
Mkuu hdr 10 na dolby vision ni mpaka uwe na Content za 4k, Either una internet inayoanzia 25mbps kupanda Video za Youtube na Netflix utaletewa Quality hio ama uwe unadownload mwenyewe sema zinakua kubwa movie moja inaweza kuwa 10GB na zaidi.

Kitu kikubwa mkuu kitakachokusaidia kwenye TV zetu na CD za mtaani ni tech za ku upscale maana ukitoa Azam TV chanell chache tv chanell Nyingi za Bongo ni 480p ama 360p kutokana na udogo wa quality hazioneshi vizuri kwenye Ma tv ya 4k ama Full HD, so ukipata tech nzuri inayo upscale inasaidia kuonesha quality kubwa.

Kwa upscale Sony yupo vizuri sana kushinda hata LG na Samsung, ukipata TV yenye tech inaitwa "Reality creation" ipo vizuri, Samsung na LG zipo baadhi ya TV zina dedicated chip sema bei zake huwa ni ndefu, hao wachina wengi hawajali. Isssue ya Sony ni kwamba hazipo official, hivyo bei mara nyingi zinakua overpriced na ikizingua ni matatizo.
 
Mkuu uzuri wa TCL ni kwamba wana Android TV, compare na Hisense LG na Samsung ambao wanatumia os zilizofungwa. Kama ni mpenzi wa Youtube, Netflix, movies, series, kuangalia mpira etc uta enjoy, uwe tu na Internet ya uhakika.

Hio tv pia Panel yake ni VA kama umesoma post za Juu haitakua na view Angle nzuri kama IPS ila utaenjoy contrast kubwa hasa kama unaangalia sebule yenye giza.

Mambo mengine in 4k, HDR10, ina Tv zote Analog, DVB-T, DVB-S, Dolby vision, Dolby Atmos, wifi ya kisasa, Wifi direct, Dlna, bluetooth ya kisasa 5.1, uwezo wa kusplit display etc.

Kwa matumizi ya kisasa mi naona ipo vizuri, we kagua tu upande wako hasa quality ya picha kama inakidhi vigezo vyako.
Nimeshachukuwa hii kitu leo, kero ya kugombea vipindi nimemaliza, waangaike nayo hii sebuleni Mimi chumbani Nina ya kwangu hakuna nafasi ya tamthilia.
 
Mkuu hdr 10 na dolby vision ni mpaka uwe na Content za 4k, Either una internet inayoanzia 25mbps kupanda Video za Youtube na Netflix utaletewa Quality hio ama uwe unadownload mwenyewe sema zinakua kubwa movie moja inaweza kuwa 10GB na zaidi.

Kitu kikubwa mkuu kitakachokusaidia kwenye TV zetu na CD za mtaani ni tech za ku upscale maana ukitoa Azam TV chanell chache tv chanell Nyingi za Bongo ni 480p ama 360p kutokana na udogo wa quality hazioneshi vizuri kwenye Ma tv ya 4k ama Full HD, so ukipata tech nzuri inayo upscale inasaidia kuonesha quality kubwa.

Kwa upscale Sony yupo vizuri sana kushinda hata LG na Samsung, ukipata TV yenye tech inaitwa "Reality creation" ipo vizuri, Samsung na LG zipo baadhi ya TV zina dedicated chip sema bei zake huwa ni ndefu, hao wachina wengi hawajali. Isssue ya Sony ni kwamba hazipo official, hivyo bei mara nyingi zinakua overpriced na ikizingua ni matatizo.
mkuu kuna panel za min-led naona wanazifia sana kwamba zinaweza kucompete na OLED panels. kuna ukweli??
 
Mini led ni kama led/lcd nyengine hazina issue na sio level ya Oled. Hata ukiangalia Macbook/ipad zinazotumia hio tech nyingi zina malalamiko ya kutosha.

ipad-pro-xdr-display-blooming.jpg

Ukiangalia hicho kioo kikidisplay nyeusi kunakuwa na blooming fulani kama weupe kuzunguka hicho kitu kinachooneshwa.

Tech ambayo ni Nzuri inaitwa Microled hii haina Backlight ni kama Oled sema ni mpya na bei ndefu, tv mpya za Samsung za Macroled zinaanzia dola 80,000 ambayo ni kama milioni 200 ya kibongo
 
Mini led ni kama led/lcd nyengine hazina issue na sio level ya Oled. Hata ukiangalia Macbook/ipad zinazotumia hio tech nyingi zina malalamiko ya kutosha.

View attachment 2609596

Ukiangalia hicho kioo kikidisplay nyeusi kunakuwa na blooming fulani kama weupe kuzunguka hicho kitu kinachooneshwa.

Tech ambayo ni Nzuri inaitwa Microled hii haina Backlight ni kama Oled sema ni mpya na bei ndefu, tv mpya za Samsung za Macroled zinaanzia dola 80,000 ambayo ni kama milioni 200 ya kibongo
Aisee! Tutaishia kwenye aborder
 
Zikitoka Microled ujue Hizo oled watapewa wachina zitajaa kibao mitaani. Sasa hivi tayari TCL (Csot) wameshanunua viwanda vya Samsung china na wanamtengenezea Samsung Oled za Bei rahisi.
duuuuh kwa hyo kutakuwa na oled yenye viwango na isiyo na viwango??
 
Mbona hizo zisizo na viwango tayari zipo kwenye Simu? Samsung anatengeneza Oled ila simu za bei rahisi ananunua Oled kwa wachina anaeka.

Simu nyingi za Kichina za bei rahisi zenye oled sio ile yenyewe unayoikuta kwenye simu za bei
 
Hii TV niliyonayo ni Samsung HD inch 32, nilinunua laki saba wakati ndio zinatoka, imeshawahi kupigwa chini kwenye domestic violence lakini iko vilevile na Ina miaka zaidi ya 10, je Samsung bado watakuwa na bidhaa imara kiasi hiki kwa miaka hii?
Hata mie ndo naitumia hadi leo samsung led tv 32 nilinunua 680k miaka hiyo ina miaka kama 8 hivi bado inadunda kama mpya
 
Mbona hizo zisizo na viwango tayari zipo kwenye Simu? Samsung anatengeneza Oled ila simu za bei rahisi ananunua Oled kwa wachina anaeka.

Simu nyingi za Kichina za bei rahisi zenye oled sio ile yenyewe unayoikuta kwenye simu za bei
Chief next week naenda chukua TV kariakoo Model Samsung AU7000 55" Bei 1,500,000/=
Ushauri wako muhimu
 
Mbona hizo zisizo na viwango tayari zipo kwenye Simu? Samsung anatengeneza Oled ila simu za bei rahisi ananunua Oled kwa wachina anaeka.

Simu nyingi za Kichina za bei rahisi zenye oled sio ile yenyewe unayoikuta kwenye simu za bei
Mkuu, mfumo mpya wa Azam TV uliozinduliwa leo unafanyaje kazi?.
 
Back
Top Bottom