Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Vioo vina panel mbalimbali kwenye LCD ila zinazotumika mara kwa mara ni VA na IPS.

Ips yenyewe uzuri wake mkubwa ni view Angle kwamba ukikaa kulia, ukikaa kushoto katikati etc quality haipotei sana hivyo ukiweka Sebuleni haijalishi mtu kakaa wapi ataona vizuri tv.

Va yenyewe ina contrast ratio kubwa unapata mwanga mkali ila haina view angle kama Ips.

Kwa watu wa kawaida most of time unashauriwa kuchukua IPS.
Asante sana Chief.
Kwa brand ya LG ni TV zipi zinatumia panel za IPS? Nilikuwa nawaza kuchukua Nanocel japo sina matumizi ya game. Kwa ngu tv ni kwaajili ya matumizi ya kawaida.
Naomba ushauri kidogo kwenye hilo.
Kwa sasa natumia LG LED TV nilinunua tangu 2015
 
Kuna possibility kubwa hio LG led unayotumia ina IPS mkuu, ama ikaw ni VA

Led ya kawaida kwenda Nanocell sio upgrade kubwa kivile. Unless kuna vitu specific unavihitaji.
 
Vioo vina panel mbalimbali kwenye LCD ila zinazotumika mara kwa mara ni VA na IPS.

Ips yenyewe uzuri wake mkubwa ni view Angle kwamba ukikaa kulia, ukikaa kushoto katikati etc quality haipotei sana hivyo ukiweka Sebuleni haijalishi mtu kakaa wapi ataona vizuri tv.

Va yenyewe ina contrast ratio kubwa unapata mwanga mkali ila haina view angle kama Ips.

Kwa watu wa kawaida most of time unashauriwa kuchukua IPS.
Tunatambuaje sasa kama hii ni VA au IPS? Kwa kutazama au imeandikwa kabisa kwenye tv?
 
Kuna possibility kubwa hio LG led unayotumia ina IPS mkuu, ama ikaw ni VA

Led ya kawaida kwenda Nanocell sio upgrade kubwa kivile. Unless kuna vitu specific unavihitaji.
Pengine kwa sababu sio mtaalam wa hizi technology. Nimesoma reviews za nanocel wanasema ni nzuri kwenye power consumption ndio maana inanivutia zaidi.
Pia hii niliyonayo sio mbaya ila nataka angalau kuanzia inch 50. Niliyonayo ni chini ya hapo.
Pia Chief naomba unisaidie ubora wa Hisense maana naona bei yao ni ya kizalendo zaidi ukilinganisha na LG.
 
Haiwezi tumia umeme mdogo kushinda uliyonayo sasa, pengine walifanya Comparison na Oled.
Pia hii niliyonayo sio mbaya ila nataka angalau kuanzia inch 50. Niliyonayo ni chini ya hapo.
Unaweza fuata njia hio hio mkuu ya Led ila ikawa kubwa yake,
Pia Chief naomba unisaidie ubora wa Hisense maana naona bei yao ni ya kizalendo zaidi ukilinganisha na LG.
Concept ni ile ile mkuu Zipo hisense nzuri na mbaya cha muhimu angalia hio quality ya kioo na features nyengine, ila kama ni mtu wa vitu smart smart huwa siielewi kabisa software ya hisense, otherwise kama unatumia tu kina Azam na startimes haina neno.
 
Tunatambuaje sasa kama hii ni VA au IPS? Kwa kutazama au imeandikwa kabisa kwenye tv?
Wanaweza kuandika ila kutambua kwa macho ni kuangalia hii view Angle, yaani tembea nenda kulia kwa TV, kushoto kwa TV ukiona kila ukienda upande Quality inapotea ujue hio sio IPS.

Screenshot_20230429-194027.png

Hii ips ikiwa imetilt Nyuzi 57

Screenshot_20230429-194049.png

Hii Va ikiwa imetilt Nyuzi hizo hizo 57.

Ila tv hizo hizo ukiwa unaangalia straight
Screenshot_20230429-194318.png

Hii ips

Screenshot_20230429-194348.png

Hii va

Hivyo unaona utofauti ni mdogo sana ukiwa unaziangalia straight hizo tv ila ukikaa kiupande utofauti unakua mkubwa.
 
Wanaweza kuandika ila kutambua kwa macho ni kuangalia hii view Angle, yaani tembea nenda kulia kwa TV, kushoto kwa TV ukiona kila ukienda upande Quality inapotea ujue hio sio IPS.

View attachment 2603942
Hii ips ikiwa imetilt Nyuzi 57

View attachment 2603944
Hii Va ikiwa imetilt Nyuzi hizo hizo 57.

Ila tv hizo hizo ukiwa unaangalia straight
View attachment 2603948
Hii ips

View attachment 2603953

Shukrani
 
Chief Kwa kifupi nimekuelewa kuwa Sisi ambao tunataka TV Kwa lengo la kuangalia vipindi vya kawaida vya Akina Azam na Startimes ni Bora tukanunua TV yenye technology ya LED Ips panel hii ni Bora kuliko LCD Ips panel.
Nipo sahihi mkuu.?
Unaweza niorodheshea TV 2 zenye Ips Led TV iwe Samsung au LG inch 55-60.
 
Ips over VA mkuu ama TN.

Kwa tv mkuu ngumu kukuambia model fulani, zipo nyingi mno, hivyo siwezi jua Exactly model gani LG ama Samsung wameleta Tanzania.
 
Kwa jinsi nilivyoKuelewa Ips ni Bora kuliko VA.
Ips Vs TN ndio sijaelewa ipi ni Bora.?
Kati ya hizi ipi ni bora zaidi nichukue
1.Samsung 55" BU8000 4k
2.Samsung 55” AU7000 crystal 4K
3.Samsung 55” Au8000 crystal 4K

Hivi kila 4k ina Ips.?
 
Ips over VA mkuu ama TN.

Kwa tv mkuu ngumu kukuambia model fulani, zipo nyingi mno, hivyo siwezi jua Exactly model gani LG ama Samsung wameleta Tanzania.
Chief samahani, unazungumziaje LG UHD Smart 4K? Kwa matumizi ta kawaida nyumbani inaweza kunifaa?
 
Ips over VA mkuu ama TN.

Kwa tv mkuu ngumu kukuambia model fulani, zipo nyingi mno, hivyo siwezi jua Exactly model gani LG ama Samsung wameleta Tanzania.
Mkuu nataka kujilipuwa hapa, hebu weka neno kuhusu hii kitu.
 
Attachments

  • IMG20230502210933.jpg
    IMG20230502210933.jpg
    1 MB · Views: 54
Mkuu nataka kujilipuwa hapa, hebu weka neno kuhusu hii kitu.
Mkuu uzuri wa TCL ni kwamba wana Android TV, compare na Hisense LG na Samsung ambao wanatumia os zilizofungwa. Kama ni mpenzi wa Youtube, Netflix, movies, series, kuangalia mpira etc uta enjoy, uwe tu na Internet ya uhakika.

Hio tv pia Panel yake ni VA kama umesoma post za Juu haitakua na view Angle nzuri kama IPS ila utaenjoy contrast kubwa hasa kama unaangalia sebule yenye giza.

Mambo mengine in 4k, HDR10, ina Tv zote Analog, DVB-T, DVB-S, Dolby vision, Dolby Atmos, wifi ya kisasa, Wifi direct, Dlna, bluetooth ya kisasa 5.1, uwezo wa kusplit display etc.

Kwa matumizi ya kisasa mi naona ipo vizuri, we kagua tu upande wako hasa quality ya picha kama inakidhi vigezo vyako.
 
so kumbe android ya tcl ni better usefully kuliko za lg na Samsung???
 
Lg wana Web os na Samsung wana Tizen os, kama una hela unanunua Netflix, Amazon prime, unalipia dstv etc ni os Nzuri kwa TV zipo integrated na tv na pia ni nyepesi.

Tcl wanatumia android unaweza sideload app zako za movie kuangalia mpira, ukaweka youtube isio na matangazo etc.
 
sijaelewa hapa, maana nina TV ya LG app zote hizo nimeinstall bure kabisa
 
Back
Top Bottom