tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
Asante sana Chief.Vioo vina panel mbalimbali kwenye LCD ila zinazotumika mara kwa mara ni VA na IPS.
Ips yenyewe uzuri wake mkubwa ni view Angle kwamba ukikaa kulia, ukikaa kushoto katikati etc quality haipotei sana hivyo ukiweka Sebuleni haijalishi mtu kakaa wapi ataona vizuri tv.
Va yenyewe ina contrast ratio kubwa unapata mwanga mkali ila haina view angle kama Ips.
Kwa watu wa kawaida most of time unashauriwa kuchukua IPS.
Kwa brand ya LG ni TV zipi zinatumia panel za IPS? Nilikuwa nawaza kuchukua Nanocel japo sina matumizi ya game. Kwa ngu tv ni kwaajili ya matumizi ya kawaida.
Naomba ushauri kidogo kwenye hilo.
Kwa sasa natumia LG LED TV nilinunua tangu 2015