Kazi ipo. Kwa ubora Gani sound bar ya hisense?Nenda mlimamani city game pale ulizia Hisense sound bar ipo ya bei ya kawaida kama laki 6 na 30 hivi hutajutia iyo sound ya humo ndani ilivyotulia. Usichukue sound bar zisizokuwa na ubora,usisahau kutumia electric cable original kuunganishia vifaa vyako tumia Tronic au yeyote og, ogopa vifaa feki vya bei nafuu katika vifaa Vyako ulivyonunua kwa gharama.