Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Nataka kununua solarmax 43'' je ina tofauti gani ukilinganisha na hizo hisence nk.. msaada tafadhali
 
Mewe,star x,mo elec,arborder, homebase,goodvision, alitop,sijui na majina gani ,ni watua wanaenda hapo china, wanafyatua kwa majina yao, ila chip na kioo ni kitu kimoja,wanabadili frame tu na majina, kazi kwako
 
Vp kuhusu ubora wao interms ya durability
 
Hisense zipo vzr sana me ninayo Uled 4k 55 sound yake kaliii kinoma noma

Kuna zile speker nyembamba zinalazwa kwa chini ya tv ivi nitapata wapi kwa anaefaham?
 
Nenda mlimamani city game pale ulizia Hisense sound bar ipo ya bei ya kawaida kama laki 6 na 30 hivi hutajutia iyo sound ya humo ndani ilivyotulia. Usichukue sound bar zisizokuwa na ubora,usisahau kutumia electric cable original kuunganishia vifaa vyako tumia Tronic au yeyote og, ogopa vifaa feki vya bei nafuu katika vifaa Vyako ulivyonunua kwa gharama.
 
Okay as ante mkuu niko mje ya mkoa war Dar nitamuagiza mtu akanichukulie
 
Hii TV niliyonayo ni Samsung HD inch 32, nilinunua laki saba wakati ndio zinatoka, imeshawahi kupigwa chini kwenye domestic violence lakini iko vilevile na Ina miaka zaidi ya 10, je Samsung bado watakuwa na bidhaa imara kiasi hiki kwa miaka hii?
Hebu simulia kidogo hiyo domestic violence ilikuwaje...hadi kuangusha TV!?
 
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.

Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.

Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life.

Karibuni kwa ushauri.
Ilikuwaje?
 
Hisense zipo vzr sana me ninayo Uled 4k 55 sound yake kaliii kinoma noma

Kuna zile speker nyembamba zinalazwa kwa chini ya tv ivi nitapata wapi kwa anaefaham?
Inch 55 ulinunua bei gani?
 
Back
Top Bottom