Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Mkuu naomba kuuliza Kila nikichomeka flash ya 64 Gb au 2TB kwenye tv yangu smart inch 32 Huwa haisom tatzo linaweza kuwa nn na hata ikisoma hai play mafaili nifanyeje?
Jaribu kuformat hizo flash kwenda fat32 zitasoma
 
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.

Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.

Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life.

Karibuni kwa ushauri.
😅😅
 
Jaribu kuformat hizo flash kwenda fat32 zitasoma
IMG-20231230-WA0000.jpg
wataalam vipi tv hiyo hapo kwa 2.5M ni reasonable?.inch 65
 
65QN85A Samsung Neo QLED 4K Smart TV. Inasomeka hivi chief na inatokea china?​

Ni katika tv nzuri sana mkuu, ni all arounder matumizi mengi itafanya kwa ufanisi unaweza isoma zaidi hapa

Bei pia sio mbaya,
 
Hakuna TV nzuri kwa bei kitonga kama TCL P635 kwenye soko la bongo.
4K
HDR 10
Dolby Atmos
HDMI 2.1
Nyembamba kama wembe.
Hivi nimetaja OS? Inakuja na Google TV.
Sokoni inatembea 600k - 650k kwa 43"

Kama unahitaji TV nzuri na sio jina ishi humu
Vipi uimara mkuu,na je nawezaje kujua kama ni OG?
 
Kwa Hali zetu za maisha walau ubora Kwa pesa chache

tv Hisense na Samsung.
fridge homebase , Hisense
AC gree, sanyo, midea, Samsung.
simu Infinix
pasi Phillips.
home theater Sony.
ni Kwanini watu wengi AC ni hizi hizi za kila siku..

mmeshawahi jaribu AC ya DAIKIN made in india?? Mkaona namna ilivyo.

AC sifa kuu iwe ENERGY SAVER binafsi mpaka sasa sijaona AC ya kuikuta DAIKIN kwa TANZANIA yetu hiii.

Nimetumia AC nyingi ila zote kama Mfuko wako hauko vizuri utalaumu sana Umeme kuwahi kuisha.

DAIKINI AC ukweli naingurumisha sio chini ya masaa 15 kila siku umeme wake hauzidi/Haufiki 5,000.

na hiii ni ile LARGE... Jambo ambalo sijawahi kuliona kwa AC zingine small size za kampuni zingine common.
 
Mbona 5000 kwa masaa 15 ni humo humo watts 1000 kwa saa?
 
Mbona 5000 kwa masaa 15 ni humo humo watts 1000 kwa saa?
kwa uzoefu wangu mkuu wa LG,HISENCE na BRUHM za small bila 10,000 kwa siku sitoboi ofisini.

kumbuka hii ni LARGE na naifungulia bila kuizima tangu ofisi inafunguliwa saa 1 asubuhi mpka 6 usiku.

Na nikiweka umeme wa 5000 kuna wakati naacha unit hata 4-7 kila siku nikiwa naondoka.

Binafsi hii kwangu inani save labda unifungue macho zaidi kama kuna namna ingine naweza save umeme na AC ikaendelea waka muda wote.

Elimu Tafadhali.
 
Hii ac ina inverter? Naona km umeme wa elfu 5 naweza kumudu. Nami nikichukulie. Unaweza nipa specification zake
 
Hii ac ina inverter? Naona km umeme wa elfu 5 naweza kumudu. Nami nikichukulie. Unaweza nipa specification zake
ina inverter, ingia site yao utaona hizo AC na sifa zao mkuu
 
Chief em nishauri kidogo, tcl inch 65 vs hisense inch 58 nichukue ipi? Mana kuna sehemu nlisoma kuwa hisense baada ya muda inapausha picha.
Inategemea na model husika mkuu, ungekua na exact models tungefanya comparisons.
 
Back
Top Bottom