Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Ni bajeti yako tu mkuu

Wale wachovu wenzangu wanakwenda na Boss, StarX
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu wa Tecno, Itel, infinix

Wale wa uchumi wa kati wanakwenda na Hisense, TLC
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Oppo Xiaomi nk

Wale wanaojiweza wanakwenda na Sony LG Samsung Apple Tv
Hizi ni sawa na watumiaji wa simu za Samsung iPhone nk
TV n za watu wa uchumi wa kati bana, Wanaojiweza wametuzidi taste tu

wali wa mama ntilie hauwezi kuwa sawa na wali wa 5 star hotel,japo wote tunakula WALI
 
Nilinunua mwaka 2020.mpk now nadunda tu.haina shida yoyote.
Screenshot_20230622_181048_Samsung%20Internet.jpg
 
Hii TV ya watu wenye hela mkuu, Hdr movies, Gaming na Comtent za Quality ya juu ipo vyema, ila hizi TV zetu za kina Azam Quality itakua ya kawaidana

Hii TV ya watu wenye hela mkuu, Hdr movies, Gaming na Comtent za Quality ya juu ipo vyema, ila hizi TV zetu za kina Azam Quality itakua ya kawaida
Natumia Dstv
 
Unasemea ile Dstv explora ndo HD zaidi?? Sababu nina dekoda hii ya kawaida ila ni HD. Nifafanulie hiyo HD ya dstv ikoje nyingine
Dstv now ni internet mkuu, utaipata store ya smart tv yako, unatengeneza Account unatumia namba za card yako. Unaweza tumia vifaa 4 tofauti.
 
Wadau nilikuwa na smart TV 4 K nchi 50 wale wajaa laana wakasepa nayo.

Nina Samsung Hd nchi 32 ilikuwa chumbani ndio nimeileta sebuleni yani tofauti ni kubwa sana.

Sasa nimeokota pochi la mzungu nataka ninunue TV ya kweli nirudi kwenye modern life.

Karibuni kwa ushauri.
Naona wengi ni Gen-x.
Smart TV bora ya nyakati zote ni Panasonic
 
Hii ni Ya zamani mkuu, Enzi hizo Chromecast haitumii Android, wameshahama mda sana kuja Android.

Na pia Chromecast ilikuwa sio nzuri kama ilivyosifiwa kwenye hii article, hasa vile ulikuwa unapata Fire stick ama Onn devices kwa $15 with better specs.

Chromecast za sasa zinatumia Android same kwa os za tv ambazo zimeandikwa Google TV
Salute kwako mkuu.umechambua vzr sana.huyo jamaa ameleta habari za zamani.mimi tv yangu hii tcl ni chromecast builtin haina haja ya kutafuta device yaan nikiwasha tu simu yangu inaleta notification ya kucast kwa tv naiona tcl inadai cast so choice ni yangu nikubali au ni deal na tv tu.android ndio mpango mzima kwa sasa coz ni opensource nimeinstall apk nyingi ni mimi na bundle langu tu
 
Mkuu uzuri wa TCL ni kwamba wana Android TV, compare na Hisense LG na Samsung ambao wanatumia os zilizofungwa. Kama ni mpenzi wa Youtube, Netflix, movies, series, kuangalia mpira etc uta enjoy, uwe tu na Internet ya uhakika.
Internet ninayo na hiyo TCL
Ehee mkuu nielekeze vizuri hapa..
 
Back
Top Bottom