Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Internet ninayo na hiyo TCL
Ehee mkuu nielekeze vizuri hapa..
Hakikisha internet ni unlimited, pitia hapa

Kuna namna ya kuweka stremio kuangalia movie na series.
 
Nina Samsung LED ya South Africa tangu 2013 hadi Leo,

Haina shida yeyote..inapiga mzigo.

Kwangu Mimi Samsung ndy brand yangu

Kuanzia fridge, Home theatre,tv

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Nina Samsung LED nilinunua mwaka 2008 40 inches inapiga mzigo mpaka sasa, nadhani ni ya Korea.

Nina Samsung Smart TV 50 inches nilinunua 2018 inapiga mzigo vizuri. Nimechukua ya inchi 65 mwaka huu. Hizi zote ni za Egypt.

Mimi ni mwendo wa bidhaa za Samsung kwenye TV, Fridge na Microwave.

Music System ni Sony, Sound Bar ni JBL, Air Conditiiner ni LG, .........
 
Kabisa mkuu,,
Ndy maana hata bei ya Samsung brand imechangamka .
 
Kwa Hali zetu za maisha walau ubora Kwa pesa chache

tv Hisense na Samsung.
fridge homebase , Hisense
AC gree, sanyo, midea, Samsung.
simu Infinix
pasi Phillips.
home theater Sony.
 
Kuna hizi Hisense ambazo OS yake sio android, ni vidaa unawezaje kuinstall apps?
 
Unaweza Zina store sema most ni app za kulipia kama Netflix, Amazon prime etc pia YouTube ipo.

Baadhi ya model unaweza bypass na kuweka 3rd party apps sema nyingi ni za kirusi.
 
Hulu inafanya kazi hapa Tanzania...!?
 
Na vpn unaweza mkuu, Disney, hulu, Netflix ya Usa, Dazn etc.

Mkuu smart tv yangu Android niki install App inaitwa Sportzfy nje ya playstore inakubali lakini baada ya muda App inapotea haionekani hata ukienda settings upande wa Apps huioni,nimezima Play protect lakina bado kwa hyo kila mara nikitaka kuitumia hyo App inabidi niende kwenye folder lenye APK yake nianze upya ku install japo wakati wa ku install inaniambia kabsa tayari hyo App ipo installed..shida itakuwa nn hapo Mkuu?
 
Hapo mkuu njia ya kwanza jaribu kutumia 3rd party launcher ikipotea, sometime hio launcher ya google inaficha hizo app. Mfano ATV launcher ipo store, kufanya permanent ni shughuli ila jaribu hata temporary kwa sasa.

Njia ya pili ni kubadili hio apk kwa kuweka manifest za Android tv ili kuidanganya launcher ya google kwamba ni app ya Android tv. Sio 100% compatible na apps zote ila watu wanatumia.
Jaribu hii
Tool

Shukran sana ngoja nifanyie kazi.
 
Mkuu samahani maelekezo kidogo jinsi ya kufanya hapo mwisho.
 
Hakuna TV nzuri kwa bei kitonga kama TCL P635 kwenye soko la bongo.
4K
HDR 10
Dolby Atmos
HDMI 2.1
Nyembamba kama wembe.
Hivi nimetaja OS? Inakuja na Google TV.
Sokoni inatembea 600k - 650k kwa 43"

Kama unahitaji TV nzuri na sio jina ishi humu
 
Samsung ni brand yangu pendwa ila kwasasa hata Hisense wapo vizuri.
 
Back
Top Bottom