Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

Shukrani mkuu kwa kutujuza kumbe Tecno na wao wana high end smartphone

Nipe msaada, Naomba unitajie high end moja ya Tecno kisha jichagulie wewe mwenyewe high end yoyote ya iPhone kisha tufanye comparison
High end za Tecno ni kama Tecno Phantom X2 Pro
Lakini kamwe huwezi kufananisha na flagship za Apple, Tecno bado hawezi hata kushindana na Wachina wenzake
 
Anigrain na kcamp kama nyie ni wajuaji basi mnatakiwa muwe mnajua jinsi ya kutafuta taarifa za simu latest au simu za high end za TECNO.

Mkishindwa kitu kidogo kama hicho ina maana hata sifa za kujifanya wachambuzi wa simu mbele ya macho yangu mtazikosa.

Na pili mnapocompare simu msiwe shallow kuhangaika na specifications tu. Mjiulize pia hiyo specification ina umuhimu wowote wa msingi kwa matumizi ya kawaida ya simu?

Zingatieni hoja yangu ya msingi ambayo ni:

"Kitu gani cha msingi ambacho unaweza kufanya kwenye iPhone ambacho huwezi kufanya kwenye TECNO"?

Maana kuna mwenzenu mmoja wa iPhone nilimwambiaga hii ishu akaja na hoja ya iPhone sasa hivi ina satelite calls. Nikamuuliza sasa satelite call ni jambo la msingi?

Au mfano 4G au 5G sio vitu vya msingi kabisa. Connection ya 3G inatosha sana mtu kutumia simu vizuri kabisa. Sema watu ndo huwa wanakuwa manipulated kwamba "5G ndo yenyewe, ukiwa na 3G wewe ni mtu wa kale!"

Au screen resolution. Jicho la binadamu linaona mwisho 576 Megapixels. Kwa hiyo resolution ya 720p inatosha kabisa. Ni resolution ambayo video zake unastream vizuri tu kwa 3G.

Lakini watu wamehamasishwa kwamba 1080p, au 4K au 8K ndo yenyewe!!

Unajikuta unapigwa hela nyingi kununua kitu ambacho sio cha msingi ili tu uweze kujitapa mbele ya watu kwamba wewe ni mjanja.
Kioo cha 720p ni cha chini sana ukilinganisha na 4K display sometimes hata na 1080p display especially kama ukiwa unaangalia movies.
Angalia display za simu kama Sony Xperia 1 IV zina resolution ya 4K, na ubora wa video upo mbele sana ukifananisha na simu yoyote ile ya Tecno
Huwezi kuniambia kuwa 4K ni jina tu wakati hata display za 1080p zinaonesha video vizuri kuliko display za 720p, tena utofauti unaonekana kwa macho

Halafu point sio kwamba simu hizo zinaweza kufanya nini halafu Tecno inashindwa, Point ni kwamba simu ipi inafanya hivyo vitu kwa ufanisi zaidi. Hope umenielewa
Ila hata hivyo, bado kuna vitu iPhone inaweza kufanya na Tecno haiwezi
 
Ndo shida ya ushamba hiyo au mashauzi.

Wewe unababaishwa na maelezo, sio uhalisia. Uhalisia wa kisayansi ndo huo kwamba tofauti ya 720p na 4K kwa jicho lako la binadamu ni negligible. Ila ukiwa unapelekeshwa na mbwembwe of course utang'ang'ania kuwa 4K ni muhimu.

Halafu simu kuwa na vitu vingi sio ishu kama hivyo vitu ni mbwembwe tu.

Ndo nikakupa mfano wa iPhone kuwa na satelite phoning capability ambayo ina maana ukinunua unailipia (ndo maana unapigwa bei kubwa) lakini je ni wangapi wanaohitaji kupiga simu kwa kupitia satelite?

Hiyo habari ya ufanisi ni uzushi tu. Na ni miongoni mwa vitu ambavyo havina umuhimu.

Ukileta hoja ya ufanisi ujue unaongelea kasi ya processing ambayo kwa wewe binadamu huwezi kuidetect.

Tofauti huwa inakuwa in terms of less than 0.0001 seconds, ambayo kwako binadamu haina maana yoyote.

Binadamu hata tofauti ya sekunde moja huwezi kuinotice kivile.
 
Why uniambie nina shida ya ushamba na mashauzi? Personal attack, Sijapenda

720p resolution ni ndogo hata mbele ya macho mkuu. Kama hutumii simu yako kuangalia movies hautaelewa. Simu za Samsung unakuta zina display nzuri kuliko Sony lakini kwenye suala la kuplay video Sony anawaacha mbali kwa sababu ya ability ya kuplay video katika 4K resolution. Katika comparison nyingi utofauti unaonekana kwa macho

Halafu ufanisi sio speed ya simu tu, hata kamera inapaswa kufanya kazi kwa ufanisi, software pia, touch response na mambo kibao.

Hata utofauti wa performance unaweza kunotice. Kwa mfano kama unalijua game la Genshin Impact, hili game ni very demanding na tofauti ya graphics kati ya simu moja na nyingine ni kubwa kiasi kwamba unaweza kutofautisha kwa macho. Hata hivyo games zipo more optimized kwenye iOS kuliko Android na hii huleta tofauti kubwa sana kwenye ufanisi wakati wa kucheza games.
Performance sio speed tu maana siku hizi hadi simu za laki 3 zina speed ya ajabu. Performance sanasana hutofautiana kwenye ability to run and perform heavy tasks

Features kwenye iPhone zipo nyingi sielewi kwa nini umeiona moja tu
 
Kabla ya kununua TV mpya, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa ili kuhakikisha unanunua TV inayokidhi mahitaji yako na inafaa kwa bajeti yako. Hapa ni mambo muhimu ya kuzingatia:

1. Ukubwa wa TV: Fikiria ukubwa wa TV unayotaka kununua kulingana na ukubwa wa chumba chako. TV kubwa inaweza kuwa nzuri, lakini inaweza kuwa haifai kwa chumba kidogo.

2. Azimio la skrini (Resolution): Chagua TV yenye azimio bora la skrini kulingana na mahitaji yako. Azimio la juu hutoa picha bora na ubora wa rangi.

3. Aina ya TV: Chagua aina ya TV inayokidhi mahitaji yako. Kwa mfano, TV za LED zina uwezo wa kutoa picha bora na unatumia nishati kidogo.

4. Huduma za mtandaoni: Fikiria TV yenye huduma za mtandaoni kama vile Netflix, YouTube, na Amazon Prime Video ili uweze kufurahia burudani zaidi.

5. Bajeti: Chagua TV inayokidhi bajeti yako. TV za kisasa zinapatikana kwa bei mbalimbali, na unaweza kupata TV nzuri ambayo inakidhi mahitaji yako kwa bei nafuu.

6. Chapa: Chagua chapa inayojulikana na yenye sifa nzuri kwa ajili ya ubora na utendaji wake.

Kwa kuzingatia mambo haya, unaweza kupata TV inayokidhi mahitaji yako na inayofaa kwa bajeti yako.
 
Safi sana mkuu,
Fanya na recommendation kabisa
 
Ndo shida ya ushamba hiyo au mashauzi.

Wewe unababaishwa na maelezo, sio uhalisia. Uhalisia wa kisayansi ndo huo kwamba tofauti ya 720p na 4K kwa jicho lako la binadamu ni negligible. Ila ukiwa unapelekeshwa na mbwembwe of course utang'ang'ania kuwa 4K ni muhimu.

Halafu simu kuwa na vitu vingi sio ishu kama hivyo vitu ni mbwembwe tu.

Ndo nikakupa mfano wa iPhone kuwa na satelite phoning capability ambayo ina maana ukinunua unailipia (ndo maana unapigwa bei kubwa) lakini je ni wangapi wanaohitaji kupiga simu kwa kupitia satelite?

Hiyo habari ya ufanisi ni uzushi tu. Na ni miongoni mwa vitu ambavyo havina umuhimu.

Ukileta hoja ya ufanisi ujue unaongelea kasi ya processing ambayo kwa wewe binadamu huwezi kuidetect.

Tofauti huwa inakuwa in terms of less than 0.0001 seconds, ambayo kwako binadamu haina maana yoyote.

Binadamu hata tofauti ya sekunde moja huwezi kuinotice kivile.
Hivi wew huwa unaangalia movie kweny simu? Aliekwambia huwez ona tofaut ya 720P na 4K au 2K au 1080P nani? Tusingekua tina download 1080 kweny simu zeti basi ,720P ni resolution ya kawaida sana na utofauti wake unaonekana wazi wazi.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Chief mkwawa, kuna hii dude from China.
Samsung QN75Q60A. Is it worth kwa matumizi ya game and movies?
 
Jina tu limebakia, unafikiri kwa nini pasi zao zinauzwa 30,000 siku hizi mpya.
Nlinunua Netherland hii TV mpaka leo haina inachosumbua na ubora ni mzuri kwa sauti na picha.
IMG_20230622_180219~2.jpg
IMG_20230622_180219~2.jpg
 
Back
Top Bottom