Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi nimemtafakari sana[emoji23]We Ni muongo ufanye vitu hvyo kwa wakt mmoja mara movie ,kula,kusoma viatbu,kucheza game mbna muongo mm sipendi vijana waongo waongo shenzi san
Kula & kujipikilisha
Games & movies
Sex
Kutembea
Kuongea mwenyewe
Mkuu mbona chakula ni basic need na ni starehe vile vileHiyo sio starehe..ni Basic needs.
Kuna tofauti ya Basic needs na Basic wants..
Starehe ni basic want.
View attachment 2490315
Haha hivi messi yuko arsenal ehKusikiliza good music( music are in my blood veins)
kuangalia mpira(arsenal, argentina na yanga) alipo messi nipo
Body exercise
Kubeti
Jamii forum
Akuu,Kuna msichana alikuwa anasoma ben bella secondary.
Alikuwa anaitwa mariposa.
Username yako imenikumbusha mbali.
Fts shida hawajaupdate [emoji174][emoji174] unachezea viwango vya 2017 inakuwa keroMi napenda fts, kutokana na option Kama za kuongeza mkataba,kuhama ligi mbalimbali.
Yaani hapa ni kubeti na nyetoSalaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha.
kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote.
kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie kaburuni.
👉Misosi- najua mtasema kila mtu anakula, ila kwa upande wangu bhana naona imezidi.
Maana nimeshaifanya kesi, kila nikikutana nacho ni mpaka mmoja wetu anyooshe mikono juu (hapa adui yangu nimemzidi aisee) napakia kiukweli, iwe ugali,wali,ndizi na hata iwe kachumbariView attachment 2490252
View attachment 2490253
Kucheza magame, wakati nakua hili swala lilinafanya nitandikwe Sana na wazazi.
Kwani ilikua huniambii kitu linapokuja swala la kucheza game-nimetumia gameboy, PlayStation.
Mpaka leo imepelekea kuwa Kama moja ya mila na tamaduni zangu, siwezi kukaa bila kucheza magame iwe kwenye pc, PlayStation na hata kwenye simu.
Nimecheza game Kama 👉 asphalt series zote.
👉Pes hadi ya mwaka huu.
👉 Brother in arms 2&3
👉Call of duty.
👉Motorcombat iwe la porin au jeshi.
👉Fifa
Kusoma vitabu, huu ni mmoja ya utaratibu wangu unaonivutia sana.
I didn't have a great childhood life. hivyo niliamua kufunga ndoa na vitabu, nimesoma vingi Sana,ambavyo vilinisaidia kujifunza na kuelimika Sana.
Baadhi ya vitabu nilivyosoma katika Safari yangu hii👉magic of thinking big
👉The 5am club
👉The godfather
👉 Retire young, retire rich.
👉The billionaire of tommorow.
👉What the future.
👉Alex rider
👉 Intelligent investor.
👉Elon musk
👉 Business in Africa.
Hiyo ni list ya baadhi tu, so unaeza tafuta ukajifunza na kufurahia pia.
Kutazama movie,series na documentary, Mimi ni jobless wa kimataifa.
hii imekuwa fursa kubwa kwangu, kwani imenipa nafasi ya kufatilia series na movie nyingi sana.
ziwe crime,horror,drama, investigation, na hata animation. List ya series nilizotazama👉money haseist
👉24 hours.
👉Prison break
👉 Vikings
👉Dracula
👉Jumong
👉Iris
👉 Harry Potter
👉Lord of the rings.(smigo)
Acha niendelee kufurahia uwepo wangu duniani.
wametokea washauri wengi "eti punguza", ninachowajibu ni kwamba wao ni wageni kwenye maisha yangu hivyo wanaeza kwenda..
Ni vitu gani imekuwa ngumu kwako kutengana navyo??
Mi horrors movies na act movies hunitoi
Thanks much* The pale blue Eye (I'm watching now)
[*]Hillbender
[*]Sissy
[*]You won't be alone
[/LIST]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Pumbafu dooh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Napenda sana hizo chapati hapo uniwekee na maharage yalioungwa vizur yan yawe yamelainikaaa nadhani unanielewa View attachment 2490493
[emoji28][emoji28][emoji28] walaji njooni hapa
Nani kakwambia?Kuongea mwenyew dalili ya ugonjwa wa akili sio?
Nani kakwambia?
Kama unaweza kuongea mwenyewe Mambo yako na ukayapatia ufumbuzi jua huo sio ugonjwa bali ni vile sipendi kuongea ongea na watu kila jambo na pia mm sio mzuri wa kuanzisha nada zaidi ya kuchangia tu tena kidogo
Mm sio mrembo ni lijamaaOh kumbe nimekuelewa mremboo
Kufanya mapenzi - hio siwezi iacha haya iweje na miaka yote ya kufanya hayo mapenzi nimegundua mitindo mbali mbali, kusema kweli hii starehe inanipa raha sanaSalaam wakuu, unajua katika maisha haya. Kuna baadhi yetu tumekuwa tukifanya baadhi ya vitu ambapo vimekuwa vikitufurahisha.
kiasi kwamba imekuwa ngumu kuacha, hata Kama tushauriwe kwa ukubwa gani, au na mtu yoyote.
kwa upande wangu Kuna vitu vinne, naona kabisa kuacha ni mpaka niingie kaburuni.
👉Misosi- najua mtasema kila mtu anakula, ila kwa upande wangu bhana naona imezidi.
Maana nimeshaifanya kesi, kila nikikutana nacho ni mpaka mmoja wetu anyooshe mikono juu (hapa adui yangu nimemzidi aisee) napakia kiukweli, iwe ugali,wali,ndizi na hata iwe kachumbariView attachment 2490252
View attachment 2490253
Kucheza magame, wakati nakua hili swala lilinafanya nitandikwe Sana na wazazi.
Kwani ilikua huniambii kitu linapokuja swala la kucheza game-nimetumia gameboy, PlayStation.
Mpaka leo imepelekea kuwa Kama moja ya mila na tamaduni zangu, siwezi kukaa bila kucheza magame iwe kwenye pc, PlayStation na hata kwenye simu.
Nimecheza game Kama 👉 asphalt series zote.
👉Pes hadi ya mwaka huu.
👉 Brother in arms 2&3
👉Call of duty.
👉Motorcombat iwe la porin au jeshi.
👉Fifa
Kusoma vitabu, huu ni mmoja ya utaratibu wangu unaonivutia sana.
I didn't have a great childhood life. hivyo niliamua kufunga ndoa na vitabu, nimesoma vingi Sana,ambavyo vilinisaidia kujifunza na kuelimika Sana.
Baadhi ya vitabu nilivyosoma katika Safari yangu hii👉magic of thinking big
👉The 5am club
👉The godfather
👉 Retire young, retire rich.
👉The billionaire of tommorow.
👉What the future.
👉Alex rider
👉 Intelligent investor.
👉Elon musk
👉 Business in Africa.
Hiyo ni list ya baadhi tu, so unaeza tafuta ukajifunza na kufurahia pia.
Kutazama movie,series na documentary, Mimi ni jobless wa kimataifa.
hii imekuwa fursa kubwa kwangu, kwani imenipa nafasi ya kufatilia series na movie nyingi sana.
ziwe crime,horror,drama, investigation, na hata animation. List ya series nilizotazama👉money haseist
👉24 hours.
👉Prison break
👉 Vikings
👉Dracula
👉Jumong
👉Iris
👉 Harry Potter
👉Lord of the rings.(smigo)
Acha niendelee kufurahia uwepo wangu duniani.
wametokea washauri wengi "eti punguza", ninachowajibu ni kwamba wao ni wageni kwenye maisha yangu hivyo wanaeza kwenda..
Ni vitu gani imekuwa ngumu kwako kutengana navyo??
[emoji23][emoji23][emoji23]Kufanya mapenzi - hio siwezi iacha haya iweje na miaka yote ya kufanya hayo mapenzi nimegundua mitindo mbali mbali, kusema kweli hii starehe inanipa raha sana
Kucheza video games- hapa sitaki utani kama kukesha nitakesha mpaka asubuhi sitaki kufatiliana kwenye hili
Kuna shemeji yenu mmoja alijifanya kunikataza kucheza games nikwambia aache ujinga, games siachi kama anataka aniache yeye, nilimuona hana akili na nikapunguza kumpenda from that day
Mm sio mrembo ni lijamaa
Asa mbna chat zako za kupleas sa aMm sio mrembo ni lijamaa