Ni starehe ipi ambayo huwezi kuiacha, hata kama ushauriwe kiasi gani?

We Ni muongo ufanye vitu hvyo kwa wakt mmoja mara movie ,kula,kusoma viatbu,kucheza game mbna muongo mm sipendi vijana waongo waongo shenzi san
Hata Mimi nimemtafakari sana[emoji23]

Ukimuuliza hobby yake sijui itakuwa reading books, Eating, watching Movies au Playing games au zote

So Amazing....!

Sent from my Samsung Galaxy A13
 
Hiyo sio starehe..ni Basic needs.
Kuna tofauti ya Basic needs na Basic wants..
Starehe ni basic want.
View attachment 2490315
Mkuu mbona chakula ni basic need na ni starehe vile vile

By the way sex siyo basic need

Tunatambua basic needs ni vile vitu binadamu anakufa endapo akivikosa kabisa
 
Yaani hapa ni kubeti na nyeto
 
Mi horrors movies na act movies hunitoi

* The pale blue Eye -2022 (I'm watching now)
[*]Hillbender - 2022
[*]Sissy - 2022
[*]You won't be alone - 2022
[/LIST]
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kuongea mwenyew dalili ya ugonjwa wa akili sio?
Nani kakwambia?
Kama unaweza kuongea mwenyewe Mambo yako na ukayapatia ufumbuzi jua huo sio ugonjwa bali ni vile sipendi kuongea ongea na watu kila jambo na pia mm sio mzuri wa kuanzisha nada zaidi ya kuchangia tu tena kidogo
 
mimi hata sielewi najiona niponipo tu..

japo nahisi napenda kazi na hela.
 
Nani kakwambia?
Kama unaweza kuongea mwenyewe Mambo yako na ukayapatia ufumbuzi jua huo sio ugonjwa bali ni vile sipendi kuongea ongea na watu kila jambo na pia mm sio mzuri wa kuanzisha nada zaidi ya kuchangia tu tena kidogo

Oh kumbe nimekuelewa mremboo
 
Kufanya mapenzi - hio siwezi iacha haya iweje na miaka yote ya kufanya hayo mapenzi nimegundua mitindo mbali mbali, kusema kweli hii starehe inanipa raha sana

Kucheza video games- hapa sitaki utani kama kukesha nitakesha mpaka asubuhi sitaki kufatiliana kwenye hili

Kuna shemeji yenu mmoja alijifanya kunikataza kucheza games nikwambia aache ujinga, games siachi kama anataka aniache yeye, nilimuona hana akili na nikapunguza kumpenda from that day
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…