Najua sex haipo kwenye basic needs....ila nimeiweka coz mtu ukikosa sex Psychological unakua na shida pia physically bado utapata shida hasa Joints na kiunoMkuu mbona chakula ni basic need na ni starehe vile vile
By the way sex siyo basic need
Definition ya Basic needs haipo Strictly for those things ambavyo binaadamu akivikosa anafariki.Tunatambua basic needs ni vile vitu binadamu anakufa endapo akivikosa kabisa
Oohh kumbe wewe ndiyo umeiweka basi sawaNajua sex haipo kwenye basic needs....ila nimeiweka coz mtu ukikosa sex Psychological unakua na shida pia physically bado utapata shida hasa Joints na kiuno
Definition ya Basic needs haipo Strictly for those things ambavyo binaadamu akivikosa anafariki.
I don't know kama binaadamu akikosa nguo na makazi anakufa.
Ukichukulia binaadamu wa mwanzo kabisa walikua hawana makazi wala nguo na walidumu
Dah mm pia hauko peke yakoDah! Mpaka uzee huu! Sijui nani atakae nishauri niache kuangalia cartoon! Aisee ikitokea mtu kashika simu yangu akaingia gallary bahati mbaya hua najisikia aibu na kuzuga, watoto wanapenda kuchezea simu yangu sasa nimewawekea dawa zao[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo we umeiona arsenal tu, hujaona argentina?Haha hivi messi yuko arsenal eh
Nilielewa ulisema alipo messi nawe pia upoHapo we umeiona arsenal tu, hujaona argentina?
OK mkuu, hata akija yanga nipo naeNilielewa ulisema alipo messi nawe pia upo
We unaakili sanaKumwagilia moyo kwa kiasi huku nikiwa na mtoto mzuri pembeni yangu [emoji39]
Unapenda kunjunjwa?Mbona kujunjana haimo😳, ujue imebidi nione aibu
Haha nilikuwa nakuzingua tu mkuu, tuko pamoja hata mimi ni team messi, alipo nami nipoOK mkuu, hata akija yanga nipo nae
Mbona ghafla sanaUnapenda kunjunjwa?
Yaan ghafla sana kunjunjwa,Mbona ghafla sana
[emoji16][emoji16][emoji16]Wakati nashuka page hiyo pic ya pili nidhan watu wako kwenye bwawa wanaogelea kumbe pilipili sijui vitu gan duh [emoji482]
Sana 😂Yaan ghafla sana kunjunjwa,