Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Najua sex haipo kwenye basic needs....ila nimeiweka coz mtu ukikosa sex Psychological unakua na shida pia physically bado utapata shida hasa Joints na kiunoMkuu mbona chakula ni basic need na ni starehe vile vile
By the way sex siyo basic need
Definition ya Basic needs haipo Strictly for those things ambavyo binaadamu akivikosa anafariki.Tunatambua basic needs ni vile vitu binadamu anakufa endapo akivikosa kabisa
I don't know kama binaadamu akikosa nguo na makazi anakufa.
Ukichukulia binaadamu wa mwanzo kabisa walikua hawana makazi wala nguo na walidumu