Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.

Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.

Tusubiri.
 
Hao wamekula kiapo, hawawezi toa siri. Ndio maana mdee aligoma kuwasaliti wenzao
 
Kwani hawa wote tunaowaona wanasaliti hawajala kiapo?

Kiongozi Siasa ni sayansi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja tuone mda utaongea ndo tutajua nani mkweli na kigeu geu
 
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.

Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.

Tusubiri.
Naanza kujisogeza karibu na Kila mmoja japo ni pate mawazo yao na ukweli juu ya jambo hili
 
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.

Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.

Tusubiri.

Mahakamani ni mpaka 2025 au 2024
 
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.

Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.

Tusubiri.
Sawasawa
 
Kwani hawa wote tunaowaona wanasaliti hawajala kiapo?

Kiongozi Siasa ni sayansi
Yaani hawa, hawakutegemea. Asingekufa Magu na Ndugai asingeachia kiti, basi hawa walikuwa na uhakika wa kufika 2025 kama wabunge. Sasa Karata zimebadilika

Ni walikwisha jikatia tamaa na pesa za ubunge tamu. Mwanamke ni rahisi kulubuniwa mbele ya pesa na mazingira ya kisiasa yalivyojili kipindi cha mwendazake.

Hawa walijua watapeta na huko mbeleni teuzi zingewahusu. Wakapima upepo na kuona vigumu kutoboa kipindi hicho bila kuhujumu. Wakahujumu na Mungu aliona akabadiri upepo!
 
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.

Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.

Tusubiri.
Isidingo the need - sijui part ngapi hii ....
 
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.

Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.

Tusubiri.
Nawapongeza CHADEMA kwa kufukuza hizi takataka
 
Mbowe aseme ukweli alikuwa anaongea nini na Halima Nairobi, kwa nini hakuwaita wote 19?, Na kwa nini asiwatafutie ajira wote, akaahidi kumtafutia Halima peke yake, hii siyo rushwa?

Msikilizeni huyu jamaa alichoongea, anaongea facts tupu
Pascal Mayalla
JokaKuu
 
Attachments

Back
Top Bottom