Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naunga mkono hoja, wengine wenu tayari tumeisha anza kusikia sautiWatu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.
Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.
Tusubiri.
Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
P