Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

Naunga mkono hoja, wengine wenu tayari tumeisha anza kusikia sauti

P
 
Naunga mkono hoja, wengine wenu tayari tumeisha anza kusikia sauti Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

P
 
Nusrat Hanje..... Wakati utasema..!
 
Sijawahi kumwamini mbowe hata siku moja ni dingi fulan mjanja mjanja alafu ni born town ,hii michezo kuielewa unapaswa uwe na jicho Kali Sana.

Sebene hili dj ni mbowe na chadema wanalicheza bila kujua ukweli,ila naamin ujanja una mwisho na namtabilia huyu faza atakuja umbuka vibaya mno siku za mbelen maana drama zote hizi creator ni yeye ila wajinga wanamwamin sana.

Mdee na wenzake siku wakijaamua kutapika nyongo mbowe atakua uchi Sana ,maana wale wadada sio wajinga pia hawana jeur ya kumsalit mbowe ,so elewen kila kitu wapo pamoja ,sarakas zitapigwa Sana had wajinga waje kupata akili wenzenu ndo washamaliza mission yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…