Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
 
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili ( Mtanzania ) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
Duuh! Leo utasema yote na mchepuko wako utajulikana!

Chezea kitu nyingine siyo Yanga!
 
Nobody care about Mayele na Style yake ya kipuuzi puuzi.
😂😂 uto bna mlimpa mpaka ng'ombe lakini wapi

6272A6D5-031F-4B88-813D-05F115EDB1F8.jpeg
 
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili ( Mtanzania ) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
Nakazia
 
Anakamiwa, mabeki 2, 3 wanamkaba muda wote
 
Hamna uganga wala nini, wanamkaba sana mchizi mpaka kupata nafasi ni kipengele.
Kikubwa tu yanga wasimtegemee yeye, leo dogo ambudo kafanya poa sana kwa ule mshuti.

Na ndivyo inavotakiwa wao wanategemea feisal ndo mbutua mishuti kesh na keshokutwa mshuti ka ule unapigwa na yeyote tu.
 
Yanga wanajifanya kama hawajui walichowafanyi a ma striker wa simba sasa kibao kimegeuka kwao.
 
Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili ( Mtanzania ) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
Hivi hamuwezi kulala bika kumsema mayele?
 
Huo uchawi wa mikia ndio unatuonyesha sarpong na yikpe walikua na uwezo wa namna gani ila wakawaroga
 
Back
Top Bottom