Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

UKikaa tu barabarani kwa saa 1 utagundua shida ya kwanza ni wembamba wa barabara ndio uzembe wa madereva unafuata
Barabara ni nyembamba na watumiaji ni wengi

Waongeze upana wa barabara kwanza
Ndio warudi kwa madereva na watumiaji wengine
 
Yes nipo na nitaendelea kuwa royal customer wao as long as hii kampuni bado ipo,tuache politics na ushabiki hapa,accidents ni someone fault sio kazi ya Mungu,tanker imebaki na barabarani bila ya kuwaonya watumiaji wengine wa barabara,matokeo yake ni Sauli kuishia kwenye matako ya tanker,new force Ali ignore good following distance (8s),naye akaishia matakoni mwa Sauli,T1 ni barabara finyu mno
royal ❌️
loyal ✅️
 
Back
Top Bottom