Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

Ni suala la muda tu ila Sauli na New Force mabasi yanayoelekea Tunduma na Mbeya yatamaliza watu

Nikikumbuka nilikua najifunzia kuendesha gari kwenye bus la abiria likiwa na abiria 55 ndani ya bus tena safari ndefu naendesha nusu safari chuma ina gia 8 na hata kupangua gia sijui vizuri nachoka kabisa na nilikua namwaga Moto kinoma
Hakuna anayeweza kukufundisha kuendesha bus likiwa na abiria!

Sema ulikuwa umeshajua kuliendesha hivyo ulikuwa unazoeshwa kuendesha umbali fulani!!
 
Nimeyapanda yote hayo. Mombasa Raha walikuwa wastaarabu sana kwani nili-opt kulipanda kila mara hasa Mwz-Dsm. Ally's nilipanda mara 1 nikasarenda. Bufalo na Ngorika niliyaacha kabisaaa.

Baadae nikahamia Yutong za mwanzo (Golden Intercity Bus) kabisa kutoka Mwz-Dsm.
Hao golden intercity walikuja kuwa vichaa baada ya kuhamia kigoma!
 
Hakuna anayeweza kukufundisha kuendesha bus likiwa na abiria!

Sema ulikuwa umeshajua kuliendesha hivyo ulikuwa unazoeshwa kuendesha umbali fulani!!
Mi ndo nakwambia nilikua najifunza kuendesha na gar ina abiria 55 level seat hata kukanyaga clutch had mwsho nilikua nasahau lakin nikimaliza kupanga gia 8 namwaga Moto bila kujali ndo najifunza
 
Hayo ni maisha yako fanya utakavyojisikia, hawa wanaosemwa hapa wanabeba maisha ya watu wengine wengi
Wivu tu!

Sasa ukutane na mimi nikuoe lifti natembeaga speed mpaka 200 baadhi ya maeneo sijui utafanya nini
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia, Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Habari fupi lakin inachosha, kwanin unaandika usichokijua???

Sio kwamba gar hazikimbii hapana ila swala la kununua njia saul hausiki kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.

Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na hutoka mtu maalum na gari ndogo Mbeya Mjini kwa ajili ya wao wanachokiita kusafisha njia.

Narudia, Sauli na New force ni janga litarajiwalo huko Kusini mwa Tanzania.
Mimi sijawahi kuipanda Sauli ila alisababisha ajali ya kizembe kibaha sehemu inaitwa kwa bonde nakaidharau kampuni hii.
 
Mbona hazina shida kabisa? Kama unaona shida panda ndege
Kaka hiyo ni jeuri na soon utavuna matunda yake.
Kinacholalamikiwa hapa siyo speed,ni mwendo wa hovyo,na hiyo haimaanishi
ni mwendokasi,unawezatembea 50km/hr lakini ukawa hufuati kanuni za usalama barabarani.
na mwingine akaenda 120km/hr lakini anazingatia maelekezo ya usalama barabarani.
 
Wataalamu wa mechanics hivi hakuna namna ya kulock diff au tairi za nyuma zisizunguke pindi brake zimefail. Mfano kwenye trela za semi wafunge PTO inayoendeshwa kwa hydrolik so brake zikafail unawasha PTO kuilock nayo haiwezi kuzunguka Ili tairi zisiweze kuzunguka. Gari isimame baada ya brake kufail.
 
Na ndio gari pendwa huko.......lakini kama watu wanaogopa kuisha si wazisusie tu....maana kama ni ajali unaweza hata kusababishiwa wewe
 
Kuna wengine wa njia ya mwanza.. wanakimbia sana. Hawaongelewi sababu wanafika muda ambao tunaona ni usiku mwanza. Ila kutoka dar mwanza umbali wake ukifika saa 4 usiku maana yake umekimbia sana kuliko hizo sauli na new force za mbeya na tunduma

Bus inayofika mbeya saa 12 jioni kutokea dar spidi yake ni ndogo kuliko bus iliyofika mwanza saa 4 usiku kutokea dar pia
Allys dragon master
 
Back
Top Bottom