Ni Suala la Muda tu Kabla Mshamba Flani Hajatema au Kutemeshwa Bungo!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.

Kheri ya Karume Day!
 
mawaaazoo-pic.jpg
Deusdedith-Soka-e1724914476663.jpg
kibao.jpg
 
Historia inaonyesha watu shamba ndio wanatawala Dunia na nchi.

Wamjini Kazi Zao zinajulikana, misheni town na misheni town hazijawahi kutawala nchi Wala Dunia
 
Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.

Kheri ya Karume Day!
Kwahiyo mnawabeza watu wa vijijini ambao ndio mtaji wenu? Mnawakejeli halafu mnaenda kuwaomba kura.
 
Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.

Kheri ya Karume Day!
Heee 😄😄
 
Rahisi sana kusema mkimgusa Tena safari hii mtegemee civil disobedience isiyo kifani.
 
Back
Top Bottom