Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nyumbu, kwani imekuaje?!!Acha kutihsia watu LUMUMBA kid
Hiyo iliishia Karne ya 20, kuanzia Karne ya 21 mambo Yako tofauti.Historia inaonyesha watu shamba ndio wanatawala Dunia na nchi.
Wamjini Kazi Zao zinajulikana, misheni town na misheni town hazijawahi kutawala nchi Wala Dunia
Hiyo iliishia Karne ya 20, kuanzia Karne ya 21 mambo Yako tofauti.
Ukimtoa Nyerere, nani mwingine?!!!!Toa Hoja kupitia nchi yetu.
Marais wote na watawala wote hawajazaliwa Mjini na sio watoto wa Mjini.
Embu tupe mfano
Ukimtoa Nyerere, nani mwingine?!!!!
Kwahiyo mnawabeza watu wa vijijini ambao ndio mtaji wenu? Mnawakejeli halafu mnaenda kuwaomba kura.Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.
Kheri ya Karume Day!
Heee 😄😄Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.
Kheri ya Karume Day!
Rahisi sana kusema mkimgusa Tena safari hii mtegemee civil disobedience isiyo kifani.Ikilazimu basi force will be applied. Mshamba kwake kijijini ambako anakula mabungo kwa kuyafyonza. Huku mjini 'wa mjini' mabungo wanayasaga kwenye blander na kupata juisi saaafi inayoongezwa sukari na kupozwa kwenye friji.
Kheri ya Karume Day!
Wewe Mbugila huna akiliNyumbu, kwani imekuaje?!!
Kupigwa tone tone ndo akili, sio?Wewe Mbugila huna akili