Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu.

Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi, mpenzi wake akampe pesa ya nauli kama kawaida arudi nyumbani anaokoishi kama ilivyokuwa kawaida kwa amani kabisa. Ile anafika akampigia kumwambia kafika, mpenzi wake akamwambia sawa ila asimtafute kwa muda kwani atakua busy kuna kakitu anakashughulikia.

Baada ya masaa mawili anaona jamaa kapost picha yupo anafunga ndoa na mwanamke mwingine, akahisi picha za AI, akachukua boda kwenda ukweni kwake kwa wazazi wa jamaa anakuta watu kibao na shughuli inaendelea na wala hakuna anayejali kuhusu yeye.
 
aje nimpe namba za mganga
 
Sasa mtu kama huyu akirogwa uchizi
Atasema binadamu wabaya?
Akiwa chizi ataweza kuwa na utashi wa kuujua huo Ubaya wa binadamu?😀

Anyways, kumtumaini Kristo Yesu kunaleta Amani na Furaha ya kweli maishani.

Ni kujinyanyapaa kutaabikia mambo ambayo aliyeyaumba yupo. Hakuna akili ya Mwanadamu yenye X-ray machine ya kumulika nia halisi ya mtu!

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
 
The biggest coward is a man who awakens a woman's love,without the intention of loving her in return.
 
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu.

Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi, mpenzi wake akampe pesa ya nauli kama kawaida arudi nyumbani anaokoishi kama ilivyokuwa kawaida kwa amani kabisa. Ile anafika akampigia kumwambia kafika, mpenzi wake akamwambia sawa ila asimtafute kwa muda kwani atakua busy kuna kakitu anakashughulikia.

Baada ya masaa mawili anaona jamaa kapost picha yupo anafunga ndoa na mwanamke mwingine, akahisi picha za AI, akachukua boda kwenda ukweni kwake kwa wazazi wa jamaa anakuta watu kibao na shughuli inaendelea na wala hakuna anayejali kuhusu yeye.
Hili ni tukio la kikatili ambalo linaweza kumsababishia mtu mshtuko mkubwa wa kisaikolojia na kihemko (emotional trauma). Mwanaume huyo ameonesha tabia ya usaliti wa kiwango cha juu, ukosefu wa uaminifu, na kutokujali hisia za kibinadamu.
 
Akiwa chizi ataweza kuwa na utashi wa kuujua huo Ubaya wa binadamu?😀

Anyways, kumtumaini Kristo Yesu kunaleta Amani na Furaha ya kweli maishani.

Ni kujinyanyapaa kutaabikia mambo ambayo aliyeyaumba yupo. Hakuna akili ya Mwanadamu yenye X-ray machine ya kumulika nia halisi ya mtu!

MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;

6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.
Utashi wa kuwa binadamu mwema au mbaya
Ndugu zake watamsaidia
Hivi unajua kuna matukio yanaitaji majibu tit for tat
 
tuliagiza gari
ikafika
wakati inafika mimi ndo niliifata kutokana na yeye kuwa mbali sasa ikatakiwa iandikwe card pale
akasema nieke majina yangu...yaani gari yangu hiyo
kutokana na mambo yake mpaka leo najiuliza ilikua kweli au mpaka leo ni ndoto
 
ane nimpe namba za mganga
Njoo pm...🤭
downloadfile.jpg
 
2008 mwanamke wangu alikuwa anatoka na mkurugenzi wa wilaya ya simiyu hivi sasa bariadi.nimetoka dar kwa mbwembwe namkuta kijeba kimejilaza ilikuwa saa 6 usiku hapo pesa cash sina na ATM hakuna mpaka shinyanga, nikapiga hesabu zikagoma ikabidi nilale sebuleni mpka kukuche.

Kichwani mawazo mengi roho inauma isitoshe nimemtolea mahali nikataka kuanzisha varangati nikasema itakula kwangu nikaamua kutulia.

Yule mkurugenzi akamfanya mchepuko wake baada ya mwaka akapata mimba + HIV postive baada ya muda mtoto wake alifariki.

Hivi sasa yupo halmashauri ya mafinga ameoana na muhathirika mwenzie
 
Mkuu,

Pole sana.
 
Aiseee
 
Back
Top Bottom