Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

2008 mwanamke wangu alikuwa anatoka na mkurugenzi wa wilaya ya simiyu hivi sasa bariadi.nimetoka dar kwa mbwembwe namkuta kijeba kimejilaza ilikuwa saa 6 usiku hapo pesa cash sina na ATM hakuna mpaka shinyanga, nikapiga hesabu zikagoma ikabidi nilale sebuleni mpka kukuche.

Kichwani mawazo mengi roho inauma isitoshe nimemtolea mahali nikataka kuanzisha varangati nikasema itakula kwangu nikaamua kutulia.

Yule mkurugenzi akamfanya mchepuko wake baada ya mwaka akapata mimba + HIV postive baada ya muda mtoto wake alifariki.

Hivi sasa yupo halmashauri ya mafinga ameoana na muhathirika mwenzie
Subiri niende mafinga nikathibitishe ulisemalo
 
Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi, mpenzi wake akampe pesa ya nauli kama kawaida
Baada ya masaa mawili anaona jamaa kapost picha yupo anafunga ndoa na mwanamke mwingine,
Chai!
yaani usiku wa kuamkia ndoa jamaa akalala na mwanamke mwingine...baada ya masaa mawili jamaa tayari amaeshavaa na yuko anafunga ndoa...... 😀
 
2008 mwanamke wangu alikuwa anatoka na mkurugenzi wa wilaya ya simiyu hivi sasa bariadi.nimetoka dar kwa mbwembwe namkuta kijeba kimejilaza ilikuwa saa 6 usiku hapo pesa cash sina na ATM hakuna mpaka shinyanga, nikapiga hesabu zikagoma ikabidi nilale sebuleni mpka kukuche.

Kichwani mawazo mengi roho inauma isitoshe nimemtolea mahali nikataka kuanzisha varangati nikasema itakula kwangu nikaamua kutulia.

Yule mkurugenzi akamfanya mchepuko wake baada ya mwaka akapata mimba + HIV postive baada ya muda mtoto wake alifariki.

Hivi sasa yupo halmashauri ya mafinga ameoana na muhathirika mwenzie
Hii hatari, bora uliepushwa na mengi.
Kuna husiano sio la kuling’ang’ania mbele ni kifo tu..!!
 
Back
Top Bottom