Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Ni taarifa gani Hayati Ally Kibao alikuwa nazo kiasi cha kuepelekea kifo chake?

Vipi mtamualila tena kwenye balaza lenu la bawacha?

Si anaupiga mwingi eti?
Unadhani kila asiyekubali majizi na madictator ya ccm basi ni mwanachama wa cdm? Kama cdm watamualika wamualike kimpango wao. Lakini ukweli ni kuwa magu alikuwa shetani kamili, mama wa kambo anacopy tu.
 
Awamu ya kwanza pale wizara ya mambo ya ndani kulikuwa na nyumba kule nyuma zina mabati mekundu zilikuwa zikipakana na ukuta wa YMCA, enzi zile ukipita barabarani unasikia watu wanalia mle ndani kwa vipigo walivyopewa na watu wa usalama wa Taifa.

Mzee Butiku anaongea kwa uwazi leo hii utadhani hakuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Nyerere miaka ile.
Halafu yeye ndiyo alikuwa bingwa wa kutishia watu na kupiga mikwara. Nchi ngumu sana hii​
 
Mwakyembe alimwagiwa tindikali na watu gani??
Mwakyembe hakumwagiwa tindikali. Inasemekana aliwekewa sumu ikawa inammaliza taratibu hadi alipopelekwa nje ya nchi kutibiwa.

Kama sio mpenzi wa siasa huwezi ukaijua siasa kwa kudandia matukio ya siasa ni afadhali uendelee na mabishano ya Simba na yanga na masuala ya mapenzi ya wasanii.
 
Unadhani kila asiyekubali majizi na madictator ya ccm basi ni mwanachama wa cdm? Kama cdm watamualika wamualike kimpango wao. Lakini ukweli ni kuwa magu alikuwa shetani kamili, mama wa kambo anacopy tu.
Hayo Ni maneno yako au umemezeshwa na watu? Au unaongea kwa sababu hayupo.

Kama unadai magu Ni mbaya basi alikuwa mbaya kwa wabaya. Na Kama alikuwa mzuri basi ni kwa watu smart. Na bila Shaka kwa vyovyote vile lazima wewe ukichunguzwa vizuri, utakutwa eidha Ni jambazi au ulitumbuliwa, au unataka ukaribu na mtu yeyote mbaya aliechezea kichapo kutoka kwa jpm au Ni mtu wa dili haramu. Huo ndio ukweli.

Sio kila mtu anayeuawa kaonewa hapana. Hata kifo Cha kibao huwezi jua Nini kinaendelea kwamba alikuwa mtu mwema au alikuwa na shida. Maana hata huku mitaani Kuna mtu kabisa akifa watu wanasema Bora amekufa kwakweli kutokana na tabia zake. So kwa ulimwengu huu wakimtandao mtu anaweza kuwa mbaya sana mtandaoni kiasi Cha watu kutamani afe. Kinyume na maisha yake ya kijamii.

Hatuko salama kabisa hofu imekuwa kubwa kwa wananchi lkn hata kwa watu wa system wenyewe.
 
Yule bibi ni mbaya kuliko. 2030 mtakumbuka maneno yangu.
JPM alikuwa anamuita cheupe! Kumbe ni Delila
 
Awamu ya kwanza pale wizara ya mambo ya ndani kulikuwa na nyumba kule nyuma zina mabati mekundu zilikuwa zikipakana na ukuta wa YMCA, enzi zile ukipita barabarani unasikia watu wanalia mle ndani kwa vipigo walivyopewa na watu wa usalama wa Taifa.

Mzee Butiku anaongea kwa uwazi leo hii utadhani hakuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Nyerere miaka ile.
nilipata kusema haya ya utekaji na kutesa mwanzilishi ni babu yao Nyerere. vile tu waumini wake hawataki kuusikia huo ukweli.
 
Hapa kuna jambo la kukumbuka, mauwaji ya namna hii yanayohusisha tindikali, kuharibiwa uso vibaya sana sio mauwaji yanayofanya na polisi au serikali,

Kumbukumbu zinaonesha Mauwaji ya namna hii yamefanywa na Chadema dhidi ya wafuasi wake waliowatoa kafara ushahidi ni matamshi ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chadema Dr. Silaha.

Ni wakati umefika wa Watanzania Kuyatazama mambo kwa mapana zaidi ya hisia zetu ni mihemko ya wanasiasa.

Sina shaka kwamba Polisi hawawezi teka mtu mkubwa kisiasa kama alivykuwa Alli Kibao halafu wakafanye ujinga wa kitoto kiasi kile eti wateke hadharani wauwe na kutelekeza maiti hadharani hii sio polisi ya Tanzania..
Wewe ni choko sana! Chadema Wana SMG au ak47? Kima wewe!
 
Back
Top Bottom