Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

Mkuu hii shuhuda imenisikitisha na kufurahisha, yote kwa yote Mungu ni mwema nyakati zote(kulia na kucheka).
 
Katika siku nilizofurahi sana maishani mwangu basi ile ilikuwa ya kwanza,

Matokeo ya form 4 yametoka nimefaulu kwa daraja la kwanza peke yangu hapo shuleni lakini zaidi ya yote nilikuwa na ufaulu mkubwa kuliko mwanafunzi yeyote kwenye kata yangu. Atakaehisi ni chai au promo naomba aje PM ajionee
 
Advance pia tulikuwa na joint exams, nilibahatika kuwa mwanafunzi mwenye wastani mkubwa lakini division ya kawaida kwa wanafunzi wote wa michepuo ya Sayansi. Basi nikawa na vimba bichwaa kinoma.

God was/is indeed good
 
Wow Mungu ni mwema, japo kama hutojali ukipata muda share na sisi tujifunze kitu dear😘
Haina neno kamood kakikam nitashare,, manake humu si pa kujimwaga kindezi ndezi hawachelewi kusema unajimwambafai
 
Kipanga mwenyewe, safi sana mkuu
 
Sasa hizi zote zitakuwa cha mtoto siku mshenga wako nakamilisha lile jambo letu la wewe kuitwa mrs ........🀣🀣🀣🀣
 
Nanukuu

"Ila ninachoamini nilikuwa na uwezo mkubwa Ila mazingira Tu ndo yalikuwa magumu"

...."katika taarifa nzuri nilizowahi kupokea 90% sijawahi kutegemea Wala kumuomba Mungu."

Naam.
 
Aisee!!
Hii case ni the same na yangu.

Ila Mimi zote ni Taasisi za serikali.
 
Sasa hizi zote zitakuwa cha mtoto siku mshenga wako nakamilisha lile jambo letu la wewe kuitwa mrs ........🀣🀣🀣🀣
Mshenga mwenyewe unatoa macho tu hadi mwaka unaisha tenaπŸ˜‚πŸ˜‚.

I can't wait to be somebody's wife,a mother to his kids.πŸ™
 
Mshenga mwenyewe unatoa macho tu hadi mwaka unaisha tenaπŸ˜‚πŸ˜‚.

I can't wait to be somebody's wife,a mother to his kids.πŸ™
Yaani huo mstari wa mwisho unanipa nguvu ya kukutafutia mume maana kweli unataka kuwa wife. Unanikumbusha mrembo Kelsea
Tena nae kapotea sijui kashapata kidume amemficha wikend hii sehemu
 
Kuendelea kuishi baada ya misukosuko ambayo kwa mtu mwingine angajitoa roho kabisa.

Kujaliwa moyo wa subira na uvumilivu
Hi Baba mwifa's Junior, katoto hakajambo? Pole na hongera kwa kulivuka hilo jaribu.
 
Yaani huo mstari wa mwisho unanipa nguvu ya kukutafutia mume maana kweli unataka kuwa wife. Unanikumbusha mrembo Kelsea
Tena nae kapotea sijui kashapata kidume amemficha wikend hii sehemu
Kwani naye Kelsea wewe ni mshenga? Hee πŸ˜‚ tupo wengi kumbe
 
Yaani huo mstari wa mwisho unanipa nguvu ya kukutafutia mume maana kweli unataka kuwa wife. Unanikumbusha mrembo Kelsea
Tena nae kapotea sijui kashapata kidume amemficha wikend hii sehemu
Nipo, mambo?!
 
Nilivyochomoa third attempt baada ya kuihairisha mwaka wa pili kwa kujifanya nimezimia naumwa vibaya sana ili kuepuka retake maana probation ilikuwa nzito kama jiwe

Nikaja ifanya mwaka wa mwisho in September confrance hapo wenzangu wanavimba washa graduates mapema sisi wa sup tunasubiri matokeo Siku nafungua account nicheki tokeo hapo chuo kimeisha nakuta kitu kipo clear muhuni wa Manzese nina bachelor tayari

Nikaenda nunua kischana (konyagi ) kubwa nikaingia magheton nikajifungia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…