financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #61
Hongera sana mkuu, hapo kujifanyisha umezimia 😂😂 pepa lilikua gumu ama?Nilivyochomoa third attempt baada ya kuihairisha mwaka wa pili kwa kujifanya nimezimia naumwa vibaya sana ili kuepuka retake maana probation ilikuwa nzito kama jiwe
Nikaja ifanya mwaka wa mwisho in September confrance hapo wenzangu wanavimba washa graduates mapema sisi wa sup tunasubiri matokeo Siku nafungua account nicheki tokeo hapo chuo kimeisha nakuta kitu kipo clear muhuni wa Manzese nina bachelor tayari
Nikaenda nunua kischana (konyagi ) kubwa nikaingia magheton nikajifungia