Ni Taarifa gani nzuri au kitu kizuri ulishawahi kuipata/kupata ukamshukuru Mungu/Mwenyezi Mungu?

Hongera sana mkuu, hapo kujifanyisha umezimia 😂😂 pepa lilikua gumu ama?
 
SIKU zote huwa namshukuru Mungu na kumtukuza ila siku nafika hospital naambiwa mpwnzi wangu amejifungua salama mtoto was kike,aisee nilimshukuru Sana Mungu maana kulikuwa na mitihani mingi Sana mpaka anajifungua salama salimini...Nilimuomba Sana Mungu (sikuwahi kuomba Kama siku ile) na Allah alinipa majibu..
Allahu Akbar
Mungu Mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…