Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakuu!
Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌
Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika".
Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha mpenzi wake kwa sababu ya jinsi alivyotafuna chakula vibaya sijui kama ni sauti au mwendo wa taya, ila ilimchosha. Hakuwahi kumwambia. Alivumilia kwa miezi kadhaa, mwisho akaondoka kimya. 😅
Sasa najiuliza, kuna tabia gani wewe huipendi kwa mpenzi wako lakini hujawahi kumwambia? 👀👇