proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Binadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara.
Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini ukipitiliza kipimo huwa athari kwa namna fulani. Kuna vitu unatamani kuacha lakini unakuta umesharudia tena. Mifano hii ni baadhi ya tabia ambazo watu wanatamani kuacha lakini wanashindwa;
Kuvuta sigara,
kunywa pombe,
kulala sana na kuchelewa kuamka,
kuwa na huruma uliopitiliza,
Ngono kupita kuasi,
kujichua,
kukopa mara kwa mara na kutokulipa,
kutumia sana mitandao ya kijamii wakati una kazi za kufanya.
Hizo ni baadhi ya tabia ambazo mtu anaweza kusema nitaacha leo na kushindwa kuacha.
Nini kifanyike? Anza kwa kupunguza. Kama ulikuwa unawezo wa kulala hadi saa nne asubuhi weka hata kengele ya kukuamsha (alarm) na ikifika mda huo kweli jilazimishe kuamka. Hii nijia mojawapo tu.
kama una njia nyingine za kuacha tabia fulani embu tujuze hapa.