Nyege ni maumbile ya kimwili, kuna muda kibinadamu tu unahitaji lile tendo, na kuna muda mwili tu unakuonesha unataka lile tendo.
Ila kupenda kufanya kuliko kiasi ndio changamoto,
Maelezo ya hapo ni marefu sana..
Nahisi kuna uzi nilichangia hiki kitu.
Kuhusu kubeti ni kama nimeacha, ile addiction imenitoka, nilikuwa teja wa kubeti..
Sasa hivi inaweza kupita miezi au hata mwaka sijabeti na nikibeti ni elfu 10, 5.. tofauti na zamani ambapo madau yangu yalikuwa heavy kidogo na ilikuwa ni kama kazi, kukaa unachambua games na mambo yoote yanayohusu betting