Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Najaribu ila nashindwaShenzi kabisa
Najaribu ila nashindwaShenzi kabisa
inategemea ngapi? angalia wakati umefanya hata uchumi utayumba kidogo na unaanza kufubaaNikafanye mara ya ngapi bwashee kwamba mimi sijawahi kubukia mbususu?
Muhimu nipewe kadi hata ikiwa uzeeniNafiria tu ila najua ina madhara ila bado sijafanya uamuzi wa kuoa🤣
Ruhusu ubongo wako kuacha kwanzaNdio natamani
😀😀😀😀😀na nikaipatanajua tu ulikuwa unaitafura hii comment
unawapa nini? hela au wanakupenda tu?Najaribu ila nashindwa
Gono, UTI haviambukizwi Kwa hewa mkuuMbususu ina madhara gani bwashee?
Kwamba kila mbususu ina gono ? Watu wa nyeto bhnaa🤣🤣🤣🤣Gono, kaswende, UTI haviambukizwi Kwa hewa mkuu
na hio Id yako kiboko au nimewaza ujingaGono, kaswende, UTI haviambukizwi Kwa hewa mkuu
Usijali tena wewe😊😊😊Muhimu nipewe kadi hata ikiwa uzeeni
UvivuBinadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara.
Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini ukipitiliza kipimo huwa athari kwa namna fulani. Kuna vitu unatamani kuacha lakini unakuta umesharudia tena. Mifano hii ni baadhi ya tabia ambazo watu wanatamani kuacha lakini wanashindwa;
Kuvuta sigara,
kunywa pombe,
kulala sana na kuchelewa kuamka,
kuwa na huruma uliopitiliza,
Ngono kupita kuasi,
kujichua,
kukopa mara kwa mara na kutokulipa,
kutumia sana mitandao ya kijamii wakati una kazi za kufanya.
Hizo ni baadhi ya tabia ambazo mtu anaweza kusema nitaacha leo na kushindwa kuacha.
Nini kifanyike? Anza kwa kupunguza. Kama ulikuwa unawezo wa kulala hadi saa nne asubuhi weka hata kengele ya kukuamsha (alarm) na ikifika mda huo kweli jilazimishe kuamka. Hii nijia mojawapo tu.
kama una njia nyingine za kuacha tabia fulani embu tujuze hapa.
Tatizo sio mbususu Tatizo ni ulimbukeni wa mtumia mbususu , hata pombe ni hivyo hivyo.inategemea ngapi? angalia wakati umefanya hata uchumi utayumba kidogo na unaanza kufubaa
Mkuu mi stoagi... Mkuu mi pesa yangu ngumu sana kupatikanaunawapa nini? hela au wanakupenda tu?
Uvivu wa nini?Uvivu
Madhara yake nayaona lakini kubadilika sasa 😑
Id isikutishe kuwa na amani upo mikono salama😄na hio Id yako kiboko au nimewaza ujinga
Zangu zinatisha siwezi kuzisema mbele ya kadamnasi!
Dah umenikumbusha mbali mno😅kutumbukiza dole kwenye mbususu kisha kunusa kwa kila ke nnae lala nae
Uvivu wa nini?