Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Sa mbona kama unanifokeaTako ni tako kikubwa likalike...
Sa mbona kama unanifokeaTako ni tako kikubwa likalike...
Una hatari sanaKupenda kutoka na watu wazima
Sisi ndo tupoo...Sa mbona kama unanifokea
Kupigia kiongozi kura wakati najua hata iweje hawezi kuniongoza vile inavyotakiwa NO REFORM NO ELECTIONBinadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara.
Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini ukipitiliza kipimo huwa athari kwa namna fulani. Kuna vitu unatamani kuacha lakini unakuta umesharudia tena. Mifano hii ni baadhi ya tabia ambazo watu wanatamani kuacha lakini wanashindwa;
Kuvuta sigara,
kunywa pombe,
kulala sana na kuchelewa kuamka,
kuwa na huruma uliopitiliza,
Ngono kupita kuasi,
kujichua,
kukopa mara kwa mara na kutokulipa,
kutumia sana mitandao ya kijamii wakati una kazi za kufanya.
Hizo ni baadhi ya tabia ambazo mtu anaweza kusema nitaacha leo na kushindwa kuacha.
Nini kifanyike? Anza kwa kupunguza. Kama ulikuwa unawezo wa kulala hadi saa nne asubuhi weka hata kengele ya kukuamsha (alarm) na ikifika mda huo kweli jilazimishe kuamka. Hii nijia mojawapo tu.
kama una njia nyingine za kuacha tabia fulani embu tujuze hapa.
Aya bhana na nakupenda ivyo ulivyoSisi ndo tupoo...
vya wakaka tenaHumu ndani hakuna wadada wanaokula udongo?
Kuzooom zipu za wakaka?
Kunusa vyupi baada ya kuvua?
Umbea,unafki?
Hii ndo nini hii😃😃kupenda mtu adi kusimamia ukucha,naumizwa adi kuteguka akili ila siachi☹️
kuchokonoa puaMbaya kuliko...
Eeeh wakiona mkaka wanamuangalia usawa wa zipuvya wakaka tena
Yess sipend kwakwelikuchokonoa pua
hivi wadada nao wanaangalia katikati kama sisi?Eeeh wakiona mkaka wanamuangalia usawa wa zipu
Mimi mdada naongea kwa experiencehivi wadada nao wanaangalia katikati kama sisi?
hii ni mpya kwa kweli na anaeshika shika nyapu vipiYess sipend kwakweli
kumbe nlikuasjui mnatabia hiyoMimi mdada naongea kwa experience
Baadhi sio wotekumbe nlikuasjui mnatabia hiyo
niache nilie kwanza☹️sina hamu mieHii ndo nini hii😃😃
KujichuaBinadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara.
Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini ukipitiliza kipimo huwa athari kwa namna fulani. Kuna vitu unatamani kuacha lakini unakuta umesharudia tena. Mifano hii ni baadhi ya tabia ambazo watu wanatamani kuacha lakini wanashindwa;
Kuvuta sigara,
kunywa pombe,
kulala sana na kuchelewa kuamka,
kuwa na huruma uliopitiliza,
Ngono kupita kuasi,
kujichua,
kukopa mara kwa mara na kutokulipa,
kutumia sana mitandao ya kijamii wakati una kazi za kufanya.
Hizo ni baadhi ya tabia ambazo mtu anaweza kusema nitaacha leo na kushindwa kuacha.
Nini kifanyike? Anza kwa kupunguza. Kama ulikuwa unawezo wa kulala hadi saa nne asubuhi weka hata kengele ya kukuamsha (alarm) na ikifika mda huo kweli jilazimishe kuamka. Hii nijia mojawapo tu.
kama una njia nyingine za kuacha tabia fulani embu tujuze hapa